Pages

Pages

Saturday, July 16, 2011

EXCLUSIVE: MEL B AJIACHIA NA BIKINI UFUKWENI MIMBA NJE! NJE!

0715_melb_Splash
  Mel-b mwanamuziki toka kundi la spice girls ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 36 ameonekana katika pwani za Los Angels ijumaa ya jana akiwa na bikini ya chuichui angali ana mimba kubwa karibia na kuzaa.



 NDOA YA JENNIFER LOPEZ NA MAC ANTONY VIPANDE VIPANDE


In unexpectedly shocking news, Marc Anthony and Jennifer Lopez are officially filing for divorce.  After seven years of marriage and parenting their 3 year old twins Max and Emme, the couple reveal that their impending divorce is a “difficult decision.” The 41-year old Jennifer and 42-year-old Marc released a joint statement, saying:
“We have decided to end our marriage. This was a very difficult decision. We have come to an amicable conclusion on all matters.[...]It is a painful time for all involved,
These two always looked so happy together. You never know what goes on behind closed doors. Unfortunate.
This would be the third divorce for Jennifer Lopez who ended her one year marriage to Ojani Noa in 1998 and divorced actor/choreographer Chris Judd in 2004 after 2  years of marriage.




EPIDOL YATEKETEA MOTO
Wingu la Moshi likifuka toka mgahawa wa Epidol uliopo maeneo ya masaki umeteketea kwa moto na bado haijajulikana ni kiasi gani imjitokeza kutokana na ajali hiyo.



Wasomaji wa Bingwa, Dimba, Mtanzania kuondoka na gari
       KAMPUNI ni New Habari (2006) ambao ni watengenezaji wa magazeti ya Bingwa, Dimba, Mtanzania, Rai na The African, imezindua promesheni iliyopewa jina la Mchongo ambayo itampa msomaji wa magazeti yao matatu kujishindia zawadi ya gari na nyinginezo.
    Akizungumza katika uzinduzi wa promosheni hiyo, Makao Makuu ya Kampuni hiyo, Sinza Kijiweni, jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko na Usambazaji wa New Habari, Grace Kasella, alisema promosheni hiyo itawahusu wasomaji wa magazeti ya Bingwa, Dimba na Mtanzania.
    Alisema kuwa wasomaji wa Bingwa na Dimba, watashindania gari dogo aina ya Toyota Vitz lenye thamani ya Sh milioni 8.5, wakati wale wa Mtanzania watawania gari aina ya Suzuki Vitara yenye thamani ya Sh milioni 14, katika droo kubwa itakayofanyika baada ya miezi mitatu, ikitarajiwa kumalizika Oktoba mwaka huu kwenye ofisi za kampuni hiyo.
   “Zawadi hizo za magari pamoja na nyinginezo kama fulana, runinga, kofia, mipira na nyinginezo zitakazokuwa zikitolewa katika droo ndogo za kila mwezi, zina thamani ya Sh milioni 36,” alisema.
Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Usanifu Kurasa wa kampuni hiyo ambaye ndiye msimamizi wa promosheni hiyo, Essy Ogunde, alisema msomaji wa magazeti hayo, ataingia kwenye promosheni hiyo kwa kujaza kuponi inayopatikana kwenye magazeti hayo na kuituma katika ofisi za kampuni hiyo.
    Alisema kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo pamoja na familia zao, hawataruhusiwa kushiriki na vigezo na masharti vitazingatiwa.
     Na MICHAEL MAULUS



TOP PIC OF A DAY
Nice Weekend watu wa mibonyezo tuko pamoja kama kawa.

No comments:

Post a Comment