Pages

Pages

Sunday, July 17, 2011

REDD'S MISS TEMEKE AWA HUSNA TWALIBU

Redd's Miss Temeke, Mwajabu Juma akiwa na mshindi wa pili, Cyncia Kimasha
 (kushoto) na mshindi wa tatu Husna Twalibu wakiwa katika picha ya pamoja baada
 ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika
 ukumbi wa TCC Chang'ombe.

 Washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.
Redd's Miss Temeke, husna Twalibu akipita jukwaani na vazi la ubunifu.





SILAHA YAKAMATWA MBEYA ILITUMIKA KUPOLA BENKI YA NMB
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akionesha silaha aina ya SMG yenye magazine 2 za AK 47 moja ikiwa na risasi 40 na SMG yenye risasi 35 ambayo ilitumika kupora jumla ya shilingi 149,722,150 za Benki ya NMB wilayani Kyela mkoani Mbeya.




NEEMA MTITU NDIYE VODACOM MISS EXCELLENCE 2011

Vodacom Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi kati ya warembo 10 waliokuwa wakigombea kinyang;anyiro hicho juzi katika viwanja vya Chuo kikuu Huria cha Tanzania.
Vodacom Miss Excellence out 2011 akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika katika Chuo Kikuu Huria jijini Dar es Salaam,kushoto ni mshindi wa pili Weirungu David na mshindi wa tatu Neema Saimoni.
Mshindi wa pili wa Vodacom Miss Excellence 2011 Weirungu David akipokea Hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6,030,000 kutoka kwa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Afrika Kusini katika shindano lililofanyika viwanja vya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe akimpongeza Vodacom Miss Excellence Out 2011 Neema Mtitu kushoto ni mshindi wa pili Weirungu David na mshindi wa tatu Neema Saimoni.
Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 6,030,000 Vodacom Miss Excellence out 2011 Neema Mtitu katika shindano ilililofanyika viwanja vya Chuo Kikuu Huria cha Dar es Salaam juzi.
Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Excellence out 2011 waliofanikiwa kuingia katika hatua ya Tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.kutoka kushoto ,Weirungu David,Neema Saimoni,Sophia Chacha, Hadija Madege

No comments:

Post a Comment