Pages

Pages

Monday, July 18, 2011

SERENA WILLIAMs ATEKA FUKWE ZA SOUTH BEACH

 Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams jana alijiachia katika fukwe za south Beach huko majuu huku akiwa katika bikini ambayo iliwajaza watu wamshangaeshae muda wote.





RETURNs OF THE SUPERMAN
Am i bird man or superman!?
My ride..!!
Am on ma way,"Unique model 2011" inarudi tena ikiwa na marekebisho kedekede na mtizamo mpya..!!




WIZ KHALIFA MMHH..!! KADFATA KWA AMBER ROSE

http://ondareal.com/wp-content/uploads/2011/07/wizamber.pngwiz khalifah akifanya mambo yake jukwaani mbele ya demu wake amber rose





PICHA YA KWANZA YA J-LO BAADA YA TALAKA


It is always business first, personal life later.
Jennifer Lopez was spotted leaving a photo shoot at MILK studios in Hollywood yesterday, following the news that she and husband Marc Anthony are getting a divorce.
The “On The Floor” star was in a six-hour photo shoot and enjoyed some time alone on her lunch break while eating a steak.
Reports say that the divorce between Jennifer and Marc does not come as a surprise. Both Marc and Jennifer are strong-willed people and both say what is on their minds.
Check out pictures of the Latina beauty leaving the photo shoot! 






ANGLE-YOUNG BEAUTIFUL GAL

Mtoto Angle ambae ndoto zake nikuwa model na mrembo.
Angle akiwa na mama yake kitaa anafkuangalia blogu hii kila siku.


Beyonce Knowles "can't wait" to start a family.
beyonce_kids_children_pregnant_babies.jpgThe 29-year-old singer - who has previously hinted she would like to have children with husband Jay-Z in the near future - will be a "natural" mother, according to her sister Solange, who has six-year-old son Daniel.
Solange said: "She will be a great mother, a natural. She will love to start a family. I can't wait, they will be beautiful."
However, while waiting to become a mother of her own, 25-year-old Solange admits Beyonce has a great time as an auntie to her child.
She added to the Daily Mirror: "Beyonce adores my little boy. She takes him everywhere. We were in Europe a couple of months ago and he loved being with his auntie."
Meanwhile the Best Thing I Never Had hitmaker - who is currently in the UK on a promotional tour of her new album 4 - is said to have become obsessed with British TV shows, in particular the BBC London-based soap EastEnders.
A source said: "Beyonce finds the accents on EastEnders really funny. She spends half the time mimicking what they're saying in her fake British accent."




CIARA
Ciara
Cuara akiwa miami weekend hii iliyopita akiwa na gauni matata sana.




P SQUE KUSHUSHA ALBAMU PUNDE
 Wasanii Paul na Peter Okoye  ama  P Square toka Nigeria,wametangaza kupiga show ya album concert kwa fans wao walioko nchini Nigeria Kwa sasa P Square wametoa album 4,Last Nite,Get Squared,Game Over na Danger na wako kwenye mishe mishe za kuzindua studio album yao ya 5,na wanachagua dancers wa kufanya nao mazoezi na dancers na wameahidi kupiga bonge la show..

Duru za Habari zinasema kuwa Album ya P-Square itakua na ngoma 10 au 13 na mpaka sasa wameshaachia single zao 2,Foreevr na Buneiya Enu itazinduliwa tarehe 30th July,2011 pande za New Expo hall ulilopo Eko Hotel and Suites.





VIONGOZI WA DUNI6 WAQNAUZA DAWA ZA KULEVYA KUJISALIMISHA


Viongozi sita wa madhehebu ya dini wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya nchini, wamejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Viongozi wa Dini na Haki za Jamii na kukiri kujihusisha na biashara hiyo kwa muda mrefu sasa.
Afisa Uhusiano wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Mhina, amesema kuwa baada ya kuhojiwa, Viongozi hao waliiomba Kamati hiyo kutowataja hadharani majina ama madhehebu yao kwa kuhofia kubezwa kwa madhehebu wanayoyaongoza.
Akizungumza mwishoni mwa ziara yao Visiwani humo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mchungaji William Mwamalanga wa Kanisa la Pentekosti Tanzania, amesema kuwa orodha hiyo na nyingine ya watu 18 wakiwemo wafanyabiashara wakubwa na Wanasiasa wanaojihusisha na biashara hiyo haramu zote zitafikishwa kwa Mkuu wa kitengo cha Polisi cha Kupambana na dawa za Kulevya nchi.
Mchungaji Mwamalanga amesema kuwa, tatizo la ongezeko la dawa za kulevya pia inazihusu nchi mbalimbali duniani na kwamba kamati hiyo itakutana na kamati nyingine kama hizo za nchi za Maziwa Makuu kwa maana ya Afrika ya Mashariki kuzungumzia ufumbuzi wa suala hilo.
Amesema mkutano huo pia utapendekeza kwa mabunge ya nchi hizo na Bunge la Afrika ya Mashariki kutunga sheria za kuwafilisi wale wote waliojilimbikizia mali kutokana na biasha za dawa za kulevya kwa nchi wanachama.
Hata hivyo Kamati hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Dini na Haki za Jamii ikiwa hapa Visiwani, imesifu na kupongeza juhudi za Jeshi la Polisi kwa hatua zao za kukabiliana na ongezeko la dawa za kulevya.
Akizungumzia kero ya dawa za kulevya visiwani hapa, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar ACP Aziz Juma Mohammed, amesema kuwa Jeshi hilo limekuwa likiwakamata wengi wa wafanyabiashara na watumiaji wa dawa za kulevya na kuwafikisha mahakamani.
Hata hivyo, kamanda Aziz ametoa wito kwa wananchi na wadau mbalimbali wa usalama kuendelea kusaidiana na Jeshi hilo kwa kutoa taarifa za wale wote wanaojihusisha na mtandao wa dawa hizo.
Kamanda Aziz amesema kama kila mwananchi atatoa taarifa za siri Polisi za kuwepo kwa mtu ama kundi la watu wanaojihusisha na biashara hiyo ama uhalifu mwingine wowote, ni wazi kabisa kuwa Polisi iyawatia mbaroni.
Wiki iliyopita watu wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, wamekamatwa kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar kwa nyakati tofauti wakitokea nchini Brazil ambapo kila mmoja alipatikana na kiasi kikubwa cha madawa ya Kulevya aina ya Cocaine.

No comments:

Post a Comment