Pages

Pages

Sunday, July 10, 2011

GRORI LOLI AWA MISS VYUO VIKUU 2011



Vodacom Miss vyuo vikuu 20011 Glori Loli, akiwapungia mkono watazamaji baada ya kutangazwa mshindi.

Vodacom Miss vyuo vikuu Glori Loli, akiwa na washindi wenzake Estol Gerald (kushoto) na Wema Mwanga, mshindi wa tatu. 
Vodacom miss Vyuo Vikuu Gloli Loli, akipanguswa macho na mshindi namba tatu Ester Gerad, aliposhindwa kujizuia kwa furaha ya ushindi.




WWW.REWIND:SABASABA
Magese akihamasisha kilimo kwanza kwa wananchi katika maonyesho ya mwaka huu.
Superman Magese akiongea lugha ya kikatuni na moja ya vikaragosi vilivyokuwamo kaatika maonyesho hayo. 

Wanayange wa TBl wakiselebuka kwaito  ikiwa ni kuitimisha siku ya sabasaba katika viwanja hivyo.
Hapa kushoto ni  superman magese na kulia ni kahabi wa REDDS

No comments:

Post a Comment