Pages

Pages

Sunday, July 10, 2011

REDDS FUN DAY YAZIZIMA MBALAMWEZI BEACH

Mchuano wa mtoano katika soka
Ni bao watizamaji miss kafunga..
ni penalti upande wa timu ya IIala..anapiga pale  la.laa!
Timu ya Kinondoni na temeke wakiburutana katika mvuto wa kamba
Ni vuta nikuvute mchuano wa kuvuta kamba kati warembo toka kanda ya temeke na ilala.
Geneviev akikabidhi zawadi toka REDDS kwa warembo
Warembo wakiwa katika pozi na zawadi za mikoba toka REDDS PREMIUM COLD
Mashauzi time..!!
Alaji..Alaji...
Abaabaaaba.. rakata tumba..tumbaa..!!
Mwanamke nyonga ..wacha wee1 ni husna mshiriki wa miss kinondoni akimwaga radhi
moja warembo wenye sifa za kipekee katika mashindano haya akijibu swali la REDDS.
Warembo wakiwa katika foleni ya misosi
Geneviev akiwa tilalila na kilevi mkononi.
Kalikumtima akiwa na timu yake ya ilala ambayo iliibuka mabingwa
Warembo wakiweka pozi mbele ya kamera ya uniqueentertz blog
Richa Adhia akiwa na mke wa boy george wakitizama bonanza liliandaliwa na REDDS kwaajili ya warembo wa kanda za Dar.
Mrembo Silvia mashuda nae alikuwepo

No comments:

Post a Comment