Pages

Pages

Monday, July 25, 2011

MLIPUAJI WA NORWAY AFIKISHWA KORTINI HUKU AKITABASAMU

Anders Breivik, the 32-year-old Norwegian man responible for the twin attacks in Oslo, Norway, appeared in court today to explain why he carried out his rein of terror on Friday.
Dressed in a red jumper, Anders admitted responsibility for the attacks, but denied that he was guilty of any criminal charges. 




G ATUPIA DENDA LA KWANZA KWA MKEWE MCHANA KWEUPEEE!!
Hapo chachaaaa mi chichemiii, hatimaye G avuta Jiko ndani na hapa alikuwa akipata natural juice tika kwa mkewe.




Njaa Pembe ya Afrika: Ufaransa yatahadharisha kuwa 'kashfa’


Watoto wakipatiwa msaada wa chakula Mogadishu
Dunia ‘imeshindwa kuhakikisha kuna chakula cha kutosha’, Waziri wa Kilimo wa Ufaransa amesema katika mkutano msaada wa chakula.
Mkutano huo ni wa Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Chakula unaojadili ukame katika eneo la Mashariki na Pembe ya Afrika.
"Kama hatutachukua hatua madhubuti, njaa itakuwa kashfa ya karne hii." Shirika la Habari za AFP limemnukuu Bruno Le Maire akizungumza mjini Rome.
Zaidi ya watu milioni 10 inakadiriwa kuwa wako katika hali ya hatari ya ukosefu mkubwa wa chakula na baa la njaa limetangazwa katika maeneo mawili nchini Somalia.

No comments:

Post a Comment