Pages

Pages

Monday, July 25, 2011

SHOGA LAOLEWA KWA HARUSI NEW YORK

The first gay marriage in New York has officially taken place! Last night at midnight Kitty Lambert and Cheryle Rudd tied the knot overlooking Niagara Falls. Check out the details from this historic event!
NIAGARA FALLS -- At the very moment the state extended the right to marry to same-sex couples, Kitty Lambert and Cheryle Rudd -- surrounded by hundreds of friends and well-wishers in a historic ceremony against the backdrop of the rainbow-lit Falls -- said, "I do."
In doing so, the Buffalo couple claim to be the first gay New Yorkers to legally wed.
And with that groundbreaking celebration, many wedding planners and tourism officials in Niagara Falls are envisioning a new booming business.
They want to turn the down-and-out city back into the Wedding and Honeymoon Capital it once was.



WIMBO WA STL NA MAHOMBI KUTOKA SOON..!!
ARTIST Stella Mwangi ama STL toka Kenya anyefanya shughuli za muziki nchini Sweden ameungana na Artist toka Congo,Mohombi Moupondo anayeishi nchini Sweden kupiga collabo na ngoma ya Hula Hoop ambayo itakua kwenye album mpya itwayo Kinanda.



WEEKEND HII UFUKENIII..!!
 Denis
 Magese na denis
mtizamaji wa blogu nae kauza kwenye blogu yetu



SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA TANZANIA
Amiri Jeshi mkuu, Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka silaha za jadi katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa wa vita vya Msumbiji huko Naliendele, Mtwara leo asubuhi katika maadhisho ya siku ya mashujaa iliyofanyika kitaifa mkoani Mtwara.
(Picha na Freddy Maro wa




UCHUMBA WA MASTAA VIPANDE VIPANDE..!!
Kristin Cavallari and Jay Cutler have called off their engagement.
According to People Magazine, the reality star and the NFL Quarterback have called off their wedding after just 10 months of dating.
She might be planning her dream wedding but according to sources, "She got dumped. She's absolutely devastated. She can't believe this is happening." 



REDD'S MISS KINONDONI 2011
Miss Kinondoni 2011, Stella Mbuge (katikati), akiwa kwenye pozi la pamoja na mshindi namba mbili, Husna Mauld (kushoto), na mshindi wa tatu Khamisa Hassan, muda mfupi baada ya kutwaa taji hilo.
Msanii wa sarakasi akionyesha uwezo wake
Wasanii wakiigiza miondoko ya Michael Jackson
Miss Tanzania 2007, Richa Adhia, akiwa kwenye pozi na rafiki yake
Husna akionyesha kipaji chaka wakati wa kumsaka mrembo mwenye kipaji
Mrembo na vazi la ufukwemi
Wasanii kutoka kwenye nyumba ya kukuza viapaji (THT), wakionyesha uwezo wao
Walipagawisha namna hii
Warembo waliyobahatika kuingia kwenye nafasi ya tano bora wakiwa kwenye pozi la pamoja
Warembo walipendeza kama unavyoona mdau
Mrembo akijitambulisha na vazi lake la ubunifu
Mrembo katika pozi tayari kwa kuonyesha vazi la ubunifu
Mambo ya ubunifu
Ishu haikuwa ndogo pande hizo
Washiriki katika vazi la ubunifu
Husna Mauld akionenyesha vazi la ubunifu
Mrembo aliyetwaa taji la nidhamu kambini Elinarda, akijitambulisha kwa mashabiki Ukumbini hapo.
Mmoja wa washiriki wa kinyang'anyiro hicho akijitambulisha kwa mashabiki
Vazi la ubunifu lilitawala namna hii



BAR REFAEL NA DAVID FISHER WAJIACHIA ITALY
Bar Refaeli was sizzling in a sexy blue bikini with her new boyfriend David Fisher earlier today. The two were among friends basking in the sunshine on Fawaz Gruosi's luxurious boat in Porto Cervo, Italy.




WAKA FLOCKA AKAMATWA NA BANGI LEO


Waka Flocka goes hard in the paint and apparently hard in New York. Waka Flocka was arrested for possession of marijuana in his old neighborhood in Jamaica, Queens. After getting released, Waka tweeted, "Look ma, no handcuffs."



SWAGGA ZA PHARREL WILLIAMS

No comments:

Post a Comment