Pages

Pages

Wednesday, July 27, 2011

REDD'S MISS ILALA WATEMBELEA TBL

Gari lilibeba warembo wa Redd's miss Ilala.
Brand manager wa Redd's Victoria akiongea machache na warembo mbele ya vyombo habari leo mchana katika kiwanda cha TBL.
 Bi Vicky akiwakaribisha warembo kiwandani hapo.
Warembo wakijiachia na misosi.
 Vicky akiwapa mikono warembo.
Mrembo Jennifer akiwa katika pozi.
 Jennifer ni moja ya warembo wanaotoka vema katika picha(photogenic).
Ziara ya warembo ilianza kiwandani hapo.
Ziara ilikuwa ndefu kidogo takribani saa moja na nusu hivi mpaka kuna wakati iliwabidi warembo wapandishe suruali kujiweka sawa na mzunguko.
 Mtoa maelezo akiwa maelezo warembo namna vilaji vinavyotengenezwa.
 Mrembo akiwa maabara.
Warembo wakiwa maabara.
 Mtambo wa kutengeneza kilaji la REDD'S.
 Tour inaendelea.
Mvuke uliomo kiwandani uliwanya mamiss wakohoe kidogo kutokana na uzoefu wa mabo ya kilaji.
Waremboz wa miss Ilala 2011 wanaotarajia kupanda jukwaani ijumaa hii viwanja vya mnazi mmoja..
Matroni,Bahati miss Ilala 2010.



MKE WA OBAMA AMWAGA MAYENU..!

First Lady Michelle Obama has definitely shown America she is not your average “Jenny From The Block."
In the latest issue of AARP magazine, of which the First Lady graces the cover, she was asked about her infamous “Dougie” performance when she visited Alice Deal Middle School in Washington two months ago, taking part in a Let's Move! Event.

No comments:

Post a Comment