Pages

Pages

Wednesday, July 27, 2011

EXCLUSIVE:MKE WA LIL WAYNE AOLEWA NA NJEMBA NYINGINE..!!

Toya Carter, ex-wife of Lil Wayne and mother of Regginae Carter, Lil Wayne's daughter got married yesterday to super producer Memphitz at The Atlanta National Golf Club. As Lil Wayne took to twitter to wish the newlyweds a heart felt congrats, the couple was celebrating their weddings with some A-List guests. Singer Monica, Real Housewife Kandi Burress and also singer Nivea and actress Lauren London, both who have a child by Lil Wayne. The affair was filmed for Toya's BET reality show.
Although it was raining, everyone still managed to enjoy the celebration to the fullest with a performance by Kelly Price and another performance by Lloyd.
Congrats to the couple!


WANAFUNZI WA KIKE WANAVYOGEUZWA WAFANYAKAZI WA NDANI WA WALIMU WAO.

Wanafunzi wa shule ya Msingi Manda wilaya ya Ludewa wakitoka kuokota kuni za kuuza ili kupata fedha za mchango wa mitihani
Wanafunzi wa kike katika shule ya msingi Manda wilaya ya Ludewa ambao wanasubiri kufanya mtihani wa Taifa wa Darasa la saba wakitoka kuokota kuni porini mida ya masomo baada ya kufukuzwa kwa kushindwa kulipa mchango wa shilingi 600 ili wapate kufanya mitihani ya kujipima ya kata mzigo wa kuni kama huu wamekuwa wakiuuza kwa kiasi cha shilingi 100 kwa walimu wao
Afisa elimu wa wilaya ya Ludewa Bw.Yella akiwahoji wanafunzi shule ya msingi Manda ambao walikutwa wakitoka kuvua samaki wakati wa masomo baada ya kufukuzwa na walimu kwa kushindwa kulipa mchango wa shilingi 600 wa mtihani wa kata.


NIKKI MINAJ ANARUSHA ROHO WADAU!

Several artists have caught heat for being too sexually explicit and indulging in disorderly conduct during shows, everyday life and in their videos.
Most recently, Nicki Minaj was served a summons in the amount of $1,000 for cursing and dancing too sexually while performing in Jamaica.



REDD'S MISS ILALA WAKIMALIZIA ZIARA YAO TBL
 Warembo wakiwa katika ghala la kuhifadhia shairi na sukari hizi zikiwa ni malighafi za uzalishaji wa kilaji chAa Redd's.
 Mrembo akijaribu kupima kitu katika mzani.
 Ziara inaendelea wadau.
 Mtaalam akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kupika kilaji katika mitambo kwa kutumia komputa.
 Warembo ashika mabomba yakupitishia kilaji wakati ikitoka kwenye matank ya juu.
Ziara imekwisha na hapa warembo wanashuka ngazi tayari kurejea kambini huku wakiwa wamejifunza mambo mengi kuhusu utengenezaji wa bidhaa mbalimbsli zinazotengenezwana TBL.

No comments:

Post a Comment