Pages

Pages

Thursday, July 28, 2011

RERDD'S MISS ILALA WAFUNDWA NA MAMA YAKE IRENE KIWIA

 Bi Suzan mrema akito ushauri nasaa kwa warembo namna ya kujitunza kitabia.
 Vicky  na staff wa Front Line Management wakimsikiliza kwa makini Bi Suzan.
 Bi Suzan akibwaga manjonjo yake mbele ya warembo wa Ilala.
Mrembo akiwakilisha uzuri wake kama chupa ya Redd's.
 Shaaban Mpondela nae alikuwepo staff kutoka front line management.
 Miss Ilala anaemaliza muda wake,Bahati alkuwepo kung'arisha semina hiyo.
 Patric kutoka front line management akipata juice katika hoteli ya paradise city ambako semina hiyo ilipofanyika jana usiku.




MISS ILALA NA SWAGGA ZAO..!!
 Jennifer kakolaki.


 Matroni akionesha uzoefu wa kupiga picha.
 Litah Samweli.

No comments:

Post a Comment