Pages

Pages

Thursday, July 28, 2011

MAANDALIZI YA JUKWAA LA REDDS MISS ILALA YANAENDELEA MNAZI MMOJA

Mpaka uusiku mafundi wako bize tu.
 Steji ikijengwa jioni hii
 Mahema pia yapo mvua ikinyesha shangwe zinaendelea kama kawa.
 Mafundi wako bize zaidi.
 Taa za uhakika zimefungwa.
 Superman Magese nipo pande hizi na mwandaaji wa Miss Ilala Bw.Kalikumtima
 Mambo ya light hayo.
Majaribio yakuwasha taa.
 Ma dj wakijaribu sound iliyofungwa uwanjani hapo jioni hii(mnazi mmoja).


NANI KUWA REDD'S MISS ILALA 2011??!!

 Ili kujua nani atatwaa taji la Redd's Miss ilala 2011 fika katika viwanja vya mnazi moja ushuhudie siku ni ijumaa hii.



FLAVIANA MATATA MATAWI YAJUU

Albanian looker, Tanzanian hotties and models Flaviana Matata and Angela Martini  joined a galaxy of  beauties who descended on NYC last night in the form of a Miss Universe Reunion/photo shoot with pageant owner Donald Trump.
The former winners posed for photographer Fadil Berisha in a variety of gowns and jewels. 

No comments:

Post a Comment