Pages

Pages

Friday, July 29, 2011

WAREMBO WA REDD'S MISS ILALA JUKWAANI JANA USIKU

     wanne staa akiwafundisha dance.
 
Jennifer akibinya sebene
Kamera ya uniqueentertz ikimulika tukio la zoezi la mwisho la kudance jana mida ya saa sita usiku katika viwanja vya mnazi mmoja,hii ni kabla kupanda jukwaani leo.
  *kwa picha na matukio ya Red's miss Ilala 2011 click older post hapo chini.



MARTIN NA SWAGGA ZAKE
     Haya kijana mdo muda wako huu....

No comments:

Post a Comment