Pages

Pages

Saturday, July 30, 2011

SALHA AWA REDD'S MISS ILALA 2011

Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel akiwa na Mshindi wa pili Alexia William na Mshindi wa tatu Jenifer Kakolaki.
jackson kalkumtima
Bend ya African Stars.
Warembo wakifungua show kwa kudance.
     Wanne star  akiburudisha.
Jennifer akifanya mambo yake.
Vazi la ufukweni

Warembo wakionesha vipaji

 

Jacqueline Walper akifatila kwa makini ambae alikuwa jaji wa vipaji.
majaji wakifatilia kwa makini mchakato.

No comments:

Post a Comment