Pages

Pages

Monday, July 4, 2011

REDD'S MISS ILALA YAZINDUA KAMBI RASMI

  Meneja Masoko wa TBL Bw. Fimbo Butala akisalimiana na washiriki wa Redd's Miss Ilala wakati wa uzinduzi wa Kambi hiyo leo kwenye hoteli ya lamada iliyopo jijini Dar.
 Washiriki wa Redd's Miss Ilala wakipozi pamoja na miss Ilala 2010 Bahati Chando wakati wa uzinduzi wa kambi leo kwenye hotel ya lamada iliyopo jijini Dar.
  Kufuatia uzinduzi wa Redd's Miss Ilala, kampuni ya bia TBL kupitia kinywaji chake cha Redd's ndio mdhamini mkuu wa mikoa ya mashindano Ilala,Temeke na Kinondoni.
Hivyo itatumika Redd's Miss Ilala, Redd's Miss Temeke na Redd's Miss Kinondoni.






WEMA SEPETU AMLIZA DIAMOND JUKWAANI
 Msanii Diamond akiimba kwa hisia za kimahaba wimbo wake wa nitarejea ambapo baadhi ya mashairi yalimlenga direct mkewe asidanganyike hata kwa mbegu za Mtama wakambonyeza kizenji.
Mmmh.. mambo flani ya booty daah.. wacha weee...!! njenje mwanawane.!
Wakati huohuo babuu wa kitaa alimbahashia bila hiyana..mtoto wema nae kamnyongea kiulaini. 




ARTIST ATUPIA PAMBA FEKI

 MUIMBAJI toka kundi la HB Toxic,Hellen Lukoma ameshutumiwa kwa kupita na kujifagilia kuwa pamba anazozitupia kanunua kwenye duka la pamba za bei kali la Woolworth
Hellen ambaye alikua dancer wa kundi la Obsessions,na aliumbuliwa na mmoja wa wauza mitumba wa jijini Kampala na kufunguka kuwa anamsambazia sana viwalo vya mitumba na ni mteja wake mzuri tu...Duh



TREY SONGZ AKIWA KATIKA MALAVIDAVI

No comments:

Post a Comment