Pages

Pages

Monday, July 4, 2011

REDDS MISS KINONDONI YAPAMBA MOTO

Baadhi ya washiriki wa REDDS miss kinondoni wakiwa katika pozi kama walivyojipanga mbele ya kamera yetu.
Mrembo katika pozi maridhawa mbele ya kamera ya Uniqueentertz blog
Mazoezi yamepamba moto ikiwa ni maandandalizi ya fainali kumtafuta mshindui wa kanda ya kinondoni.
Wanyange katika pozi la picha na tabasamu la kufa mtu
Husna ni moja ya washiriki machachali katika shindano hili.

Richa Adhia akiwa ndiye matroni wa warembo hao akisimamia zoezi zima la mazoezi ya warembo wa kanda ya Miss Kinondoni 2011.

Mrembo anaewania taji la miss kinondoni  akiwa ameweka pozi mbele ya kamera ya uniqueeentertz blog kama alivyokutwa amepumzika wakati mazoezi yakiendelea katika jengo la millennium tower  jjini Dar.







KAMERA YETU YAZAMA HOME KWA KANUMBA
muigizaji maarufu Arika STEVE Kanumba,leo kamera yetu ilizama home kwake lakini kwa bahati mbaya kamera ikazima chaji mzeiya nkapata picha moja tu siunajua mgao best,swaiba muda wote ni simu tu sikio linatumika kisawasawa anatwnga tu kotekote.

No comments:

Post a Comment