Pages

Pages

Tuesday, July 5, 2011

MIUNDO MBINU BADO NI TATIZO MITAA YA MIKOCHENI

kutokana na ukosefu wa miundo mbinu katika mitaa ya mikocheni  kama avyoonekana pichani  sinki lililo barabarani ni hatari kwa waenda kwa miguu,pikipki na bajaji hasa nyakati za usiku maji taka humwagikia njiani pindi maji yanapokuwa mengi
Kwa staili hii kipindupindu hakitaisha ijini Dar es salaam,maji machafu yanakosa mwelekeo wa kupita mitaloni kutokana na kuwa mitaa hii haina mitalo yakupitisha maji taka.

No comments:

Post a Comment