Pages

Pages

Tuesday, July 5, 2011

REDDS MISS TEMEKE WAENDELEA KUJINOA

 Washiriki wanmao wania taji la REDDS MISS TEMEKE 2011 wakifanya mazoezi.
  Wanyange  wa REDDS MISS TEMEKE wakiwa katika picha tofauti katika kambi yao ya mazoezi inayoendelea katika ukumbi wa Sigara Chang'ombe jijini Dar.





MULLY B AWAPOZA WATOTO WA JANDONI MUSOMA

Mtangazaji wa Redio Clouds Mully B akiwapa pesa ya kununua maji watoto waliotoka kutahiriwa ambao walikutana nao mtaani mjini Musoma.
Picha hii ilichukuliwa wakati team ya Clouds Fm ilipokuwa mitaani mjini Musoma na kukutana vijana ambao walikuwa wametoka kutahiriwa, kwa roho ya huruma mtangazaji wa Clouds Fm Mully B aliwaita watoto hawa na kuwapatia msaada wa pesa ya kununulia maji waliposema wanakiu sana na wanatembea umbali mrefu kutoka walipo na kuelekea wanapoelekea.
 
 
 

ATAKA KUULIWA NA SHEMEJI KISA KAFULIWA NGUO
Dereva daldala ajulikanae kama John Gwau ambae alipewa kichapo kitakatifu na sheneji yake ambapo dada yake alimfulia nguo dereva huyo ambae ni kaka yake,wivu wa kimapenzi ulimuingia jamaa huyo ajulikanae kama selestine Mgoo na kuhisi ndivyo sivyo dhidi ya mtalaka wake wakati john ni kaka yake,jamaa kalazwa hospitali ya mkoa wa singida.






MASHONDA ASHEEKEA UHURU WA KUACHANA SWIZZ BEAT

Mashonda-Vibe`` 
Continuing to celebrate her ‘independence’ from ex-husband Swizz Beatz, R&B singer Mashonda had an ‘Independence Day’ themed shoot with Vibe for their summer of celebrities in swimwear. Proud to be an American, she rocked a blue one piece with an American flag. She also flaunted her goods in a two piece and a white ensemble.
Mashonda akiwa na pozi za utata katika picha wakati wa sherehe za uhuru wake dhidi ya mtaraka wake Swizz beat ambae kwa sasa yuko na alicia keys.
 
 

NI AY AKIWA NA LA'MYIA GOOD & LIL ROMEO "BEHIND THE SCENE

No comments:

Post a Comment