Pages

Pages

Wednesday, August 31, 2011

BREAKING NEWS: BASI LA CHAMPION LAPINDUKA LAUWA WATU 8,68 WAJERUHIWA

 Basi la champion likionekana katika picha namna lilivyopinduka matairi juu.
 Kamanda Zerote steven alifika eneo la ajali na kutoa ufafanuzi wakati akihojiwa na vyombo vya habari.
 Ajali hiyo ilitokea mnamo saa 8:00 mchana, katika kijiji cha Nala wakati basi hilo likitoka Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam na kwamba, majeruhi 53 wamelazwa katika hospitali ya mkoa Dodoma.
  Eneo hilo la ajali ni kilomita 15 kutoka Dodoma mjini na Kamanda wa Polisi mkoani hapa Zelothe Stephen amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, lakini akasema, uchunguzi kuhusu chanzo cha ajali hiyo unaendelea.
  Hata hivyo, kamanda Stephen alisema taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda zinaeleza chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva ambaye alishindwa kulimudu gari hilo baada ya kukutana na tuta ghafla.



STELLA MBUGE KURUDISHA HESHIMA YA KINONDONI!?!
 Stella mbugi katika pozi.Miss Kinondoni 2011 mwenye ari ya kurudisha record ya Miss Kinondoni kuchukua Taji la Miss Tanzania enzi za akina Richa Adhia,wema sepetu,Nancy Sumary nk.
                                               
Hamisa Hassan.
       
Husna maulid nae yumo,anatishia amani upade wa vipaji.
Msoimi wa chuo kikuu naye yupo kuwaonyesha namna gani atawafunika  warembo wenzake.
    Kitu cha Tabora hiki...kazi ipo mwaka huu...!
Ushindani ni mkali sana mwaka huu kwani mamiss wengi kama wanafanana sana vigezo,kazi kwa majaji.


BEIBER APATA AJALI
0830_justin_bieber_car_arrow_EXP
Justin Bieber and his super-expensive Ferrari are both doing OK after the singer was involved in a minor fender bender in L.A. today ... this according to the LAPD.
According to police, a driver in a Honda collided with a Ferrari driven by Bieber.
Sources on the scene tell UNIQUEENTERTZ ... the Honda "tapped" Biebs so gently he didn't exchange info with the other driver.
But we're told one of Justin's peeps decided ... better safe than sorry ... and called police -- who showed up and said there wasn't enough damage to even take a report.
The good news is no one was injured. Even better news ... we're told Bieber doesn't own the Ferrari.




     LEO NI EID EL FITR

Leo ni sikukuu ya Eid El Fitr ambapo waislamu kote duniani wamekusanyika katika misikiti na kuswali mara baada ya kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, ikiwa ni moja ya nguzo tano za dini ya kiislamu. mara baada ya kumalizika mfungo wa mwezi wa ramadhan waislamu hufanya ibada na kusherehekea kwa mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukumbushana mambo muhimu yanayohusu dini ya kiislamu. Kama wanavyoonekana katika picha ni waumini wa dini ya kiislamu wakiswali katika msikiti wa Mtoni kwa Kabuma wilayani Temeke jijini Dar es salaam.


KARIBU TANZANIA(SERENGETI NATIONAL PARK)
                            Tembo na misafara yao,inasemekana tembo huwa na kilo zaidi ya 11,000 akikomaa.               Twiga  a.k.a Girafe.            Kiboko na wenzie' basi tuwaite Viboko kwasababu wako wengiau vibokoz wakifurahia mbugani humo.                      Swala.               Ukungu, umande ni hali ambazo ni kivutio kikubwa maeneo ya mbugani               Katika eneo hili la Hotel ya Serena iliyozungukwa na maadhari ya aina yake ya kuvutia, kila utakachokitizama kitakuwa na mvuto kwa macho yako, ardhi, nyasi, miti, utunzaji wa mazingira ololooo!                The Ngorongoro Crater and the Ngorongoro Conservation Area are without a doubt some of the most beautiful parts of Tanzania, steeped in history and teeming with wildlife. Lango kuu kuingia Hifadhi ya Taifa Serengeti National Park A Word heritage Site.


CHRISS BROWN SPOTTED KISSING!




Did the media forget that Chris Brown has a girlfriend? He may want to bring her out more often.

Yesterday, he was spotted enjoying downtime in West Hollywood with Bow Wow, while kissing on what the media has pegged, ‘a mystery girl’, however it looks as though the mystery girl is actually his girlfriend ‘Karrueche’, sans her highlights and make up.

No comments:

Post a Comment