Pages

Pages

Tuesday, August 30, 2011

BREAKING NEWZ:AUWAWA KIKATILI BAADA YA KUKAMATWA KAIBA KUKU

                                           
  Marehemu NASIB pamoja na Kuku waliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo
 Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya.


LELYA JUMA : MIMI NDIYE MISS TANZANIA
 Mrembo mwenye haiba ya pekee toka mkoa wa Rukwa Nyanda juu kusini amethubutu kusema yeye ndiye mshiriki mwenye vigezo zaidi kwani haoni upinzani wowote kambini hapo.
   Mrembo Leyla ana umri wa miaka 19 tu,ana elimu ya chuo akichukua masomo ya biashara,anapendelea kuogelea,kucheza muziki na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali,
   Mbali na fani ya Urembo Leyla ana kipaji kikubwa cha kusakata kabumbu(soka),
   Namba yake ya ushiriki ni 1 mpigie kadri utakavojisikia kwani nia yake ni kuja na mambo mapya endapo atashinda taji la Miss Tanzania 2011.



KANDA YA ILALA YATISHIA MISS TANZANIA
                                                                                                                                           
Jennifer kaolaki(kushoto),Alexia William(kati) na Salha Israel(kulia)
Washiriki wanaowania taji la Miss Tanzania 2011 tokea kanda ya Ilala wakionyesha makali yao katika picha kuwa hawana mpinzani katika shindano hilo.
 Tunampongeza Jackson Kalikumtima (mwaandaji wa Ilala zone) kuleta warembo wakali wenye vigezo vinavyotishia amani kwa warembo wengine katika kinyang'anyiro hiko ambacho fainali zake ni tarehe 10.


MCHEZA KIKAPU AKAMATWA AIRPORT
Former NBA player Javaris Crittenton has been arrested after trying to board an airplane in Orange County, CA.
Crittenton had checked in for a flight to Atlanta last night, where his lawyer said he was going to surrender in a murder case. He was taken to an L.A. police station and booked on suspicion of being a fugitive from justice, the FBI confirms to the
Washington Post.
Javaris, who played for the Washington Wizards, was wanted for murder in the shooting death of 22-year-old Julian Jones.

No comments:

Post a Comment