Pages

Pages

Tuesday, August 9, 2011

BREAKING NEWS: MJI WA LONDON WAENDELEA KUTEKETEZWA

       London is on fire!
      Kwa siku ya tatu mfululizo, machafuko na uporaji wa mali umeendelea katika maeneo kadhaa viungani mwa jiji la London.   
  Majengo yameteketezwa moto maeneo ya Peckham na Hackney mashariki mwa London.
     Vijana waliovalia mavazi yaliyofunika nyuso zao wamevamia maduka na kupora bidhaa, huku polisi wakikumbwa na wakati mgumu kuthibiti ghasia.
  Mji wa pili nchini Uingereza Birmingham umekumbwa na machafuko ambapo polisi wamewakamata washukiwa kadhaa.
    Hali ya sasa imemlazimu Waziri Mkuu David Cameron kukatiza likizo yake nchini Italia na amekuwa na kikao cha dharura usiku kucha na waziri wake mambo ya ndani Teresa May,naibu wawaziri Mkuu Nick Clegg na Mkuu wa idara ya jeshi la Polisi.
    Machafuko ya sasa yalianza Jumamosi usiku baada ya wakaazi wa Tottenham kuandamana kupinga kupigwa risasi na kuuawa kwa kijana mmoja
.



RIHANNA AKIKALIA KIBABU JUKWAANI
Rihanna is trying to give somebody’s grandpa a heart attack!
During her Loud tour in Barbados this past weekend, she brought a ‘pa pa’ on stage and rode him like a horse. Meanwhile, her dad was on the sidelines getting major play.



KITUKO CHA MWAKA!!
    Jamaa mmoja aitwae Lee kutoka mji wa taipei huko taiwani alinunua mkanda wa ngono uitwao "jinsi ya kufanya mapenzi na wake za watu" baada ya kufika nyumbani kuucheki akakuta steringi wa movie hiyo ni mkewe wa ndoa.
   Lee alitoa talaka papohapo kwani hakujua kama mkewe ana tabia chafu kiasi hiko ikiwa yeye lee ni mpenzi wa mikanda ya ngono.


UJAUZITO WA TIA WAMPA PRESHA!
Tia Mowry gave birth to her baby boy, Cree Taylor on June 28th, five days before he was due and the new mother was so overwhelmed with joy that she couldn’t take it! 
Star of the BET hit show The Game, told the networks online website that she “was told to be prepared for him to come before or after (her) due date," but she “was excited to get this baby out of (her)."
The whole experience for the star was extremely emotional for her.



UTAMBULISHO WA ZAHRA KWENU WADAU
Zahra ni moja ya mamodo wapya katika duru la kazi za fashion,matangazo,ushering na mengineyo..wadau welcome!!

No comments:

Post a Comment