Pages

Pages

Monday, August 8, 2011

VODACOM MISS TANZANIA WAINGIA KAMBINI GIRAFFE HOTEL

      Warembo wakiwa Katika mazingira ya hoteli ya Girafe.

     Warembo wakiwa Katika picha ya pamoja .
  Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza (kulia) akiwa na Hashim Lundenga wakizungumza na warembo wanaowania taji la Miss Tanzania 2011, baada ya kuwasili katika kambi yao iliyopo Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach jijini Dar .
Mkurugenzi wa Giraffe hotel Dr.Chales Bekon(wa pili kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga waandaji wa Vodacom Miss Tanzania akizungumza baada ya kuwasili kwa warembo hao.
  Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala (katikati mwenye miwani) akigonganisha glasi ishara ya kuwakaribisha warembo wanaowania taji la Miss Tanzania 2011 baada ya kuwasili katika kambi yao iliyopo Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach jijini Dar es Salaam jana.

   Jumla ya warembo 30 kutoka kanda tofauti nchini leo (jana) wameanza rasmi kambi ya Vodacom Miss Tanzania 2011 yaliyopangwa kufanyika Septemba 10 kwenye ukumbi wa Mlimani City kwa mfumo tofauti na ule uliozoeleka miaka ya nyuma ambapo warembo walikuwa wakikaa kambini katika Hotel ya Giraffe iliyopo jijini Dar es Salaam.


PENZI LA ROMEO  LAHAMIA KWA JULIETH
   Romeo was down in Atlanta on Friday for his first official birthday bash at Primal nightclub and was seen leaving with a gorgeous girl on his arm.
Romeo is turning 22 on August 19th, but he decided to start the birthday celebrations early. There were many girls dying for some love and affection from Romeo, but one lucky bachelorette was able to steal his attention.



MAONYESHO YA NANE MWANZA
Maboga katika banda la kilimo wilaya ya Magu. Bwana shamba James Petro akimnyoa Mhandisi wa kilimo, Injinia Mazengo kupitia umeme unaozalishwa na Power Tilla (Trekta la kulimia)ikiwa ni ubunifu kukabiliana na Mgao
Mihogo mikubwa kama kipande cha gogo.
Ni Pampu ya kuvuta maji kwa kutumia upepo (windmill) toka Halmashauri ya wilaya ya Misungwi inaahidi kukuletea video jinsi inavyofanyakazi



 JUSTINE BEIBER NA SELENA GOMEZ PENZI MOTOMOTO KILA SEHEMU

Selena Gomez and Justin Bieber couldn't keep their hands and mouths off of each other last night at the 2011 Teen Choice Awards held at the Gibson Universal Amphitheatre in California. 
During the break, cameras caught Justin Bieber continously trying to kiss his girlfriend Selena Gomez and even back stage, he keep kissing and kissing.
It's become an award show tradition: the "Biebelena" kiss.



KONDOO WA MAAJABU AZALIWA HAI KILIMANJARO
Kondoo wa ajabu aliyezaliwa na neno Yasin ubavuni.

Habari zinasema aliezaliwa na maandishi ya korohani ubavuni mwake,ambapo sasa kondoo huyo ameleta gumzo na mtafaruku katika familia hiyo ambapo mbuzi hyo anamilikwa na mwanamke mmoja
  Duru za habari zinasema kuwa kondoo huyo amepandiwa kidau mpaka kufikia miliono kumi ila mwenyekondoo kagoma kumuuza.


CASSIE NA CHRISTIAN MILAN WAJIACHIA KWA FURAHA
  Cassie and chritian were spotted relaxing while on vacation on the Spanish island of Ibiza and you best believe that they are living the life!
   ssie and Christina lounged by the pool getting their perfect tans even more perfect. They also dined on oysters while listening to Marvin Gaye.
   ssie's timeline reads, "When our fave Oyster spot plays Marvin Gaye. Life. When the Beau Soleils r amaze. More Life!"

No comments:

Post a Comment