Pages

Pages

Friday, August 26, 2011

BREAKING NEWZ: TIBA YA LOLIONDO YALETA MAAFA MAKUBWA-MADAKTARI

     Chama cha Madaktari nchini (MAT) kimesema tiba inayotolewa na Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapila, kwa njia ya kikombe kwa ajili ya kutibu magonjwa sugu, imeleta maafa makubwa kwa wagonjwa. 
    Makamu wa Rais wa MAT, Dk. Primus Saidia, alitoa tamko hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana suala zima la magonjwa yasiyoambukiza na tiba mbadala. Alisema kuwa wagonjwa wengi baada ya kunywa kikombe cha Babu waliacha kunywa dawa za magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua na kusababisha wengi wao kupooza, kufa na wengine hali zao kuzidi kuwa mbaya.
     “Ni vyema wananchi walio wagonjwa wa shinikizo la damu, kisukari, anemia na magonjwa mengine wakafuata ushauri wa madaktari badala ya kulaghaiwa na wachache,” alisema Dk. Saidia bila kufafanua zaidi. 


BELLA KOMBO-MSHIRIKI WA BSS MWENYE MVUTO WA KIPEKEE
Mshiriki wa shindano hilo Bella Kombo akiwa kwenye pozi lakimahaba zaidi,nikweli usiopingika bella she is so sexy & Hot.


BIFU LA LIL' WAYNE NA JAY-Z LAFIKIA PATAMU

So did Lil Wayne take shots at Jay-Z? Leave it to Weezy to have the most ambigous answer. Let us fill you in...
Lil Wayne's highly anticipated upcoming album, Tha Carter 4 not only leaked last night, but it proved to be the root of almost every trending topic on twitter.
Everyone and their mothers were buzzing about the track called "It's Good" where the self-proclaimed 'greatest rapper alive' took shots at Jay-Z. It gave us a "did he just really say that?" moment. Would someone actually have the balls to diss Jay-Z, and on top of that, would Lil Wayne actually be that person?


KANYE WEST KUTENGENEZEWA DOCUMENTARY
A drama society from the University of Sydney in Australia has confirmed they will be staging an hour-long production based on Kanye West's life.
Entitled Kanye: The Musical, which will document Kanye's "humble beginnings writing beats for Jay-Z to the top of the pops remixing Daft Punk."


No comments:

Post a Comment