Pages

Pages

Thursday, August 25, 2011

WAREMBO WA MISS TANZANIA WAPEWA ELIMU KUHUSU M-PESA

Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakijisajili katika huduma ya M Pesa baada ya kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma hiyo jana wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom.

Meneja Huduma wa Bidhaa za Vodacom, Elihuruma Ngowi akifafanua jambo juu ya huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha na mabaunsa waliovalia vazi la M Pesa “m pesa Man” baada ya warembo hao na wenzao kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma ya M Pesa jana wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom. Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha na mabaunsa waliovalia vazi la M Pesa “m pesa Man” baada ya warembo hao na wenzao kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma ya M Pesa jana wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom.


Afisa Utawala wa Huduma ya M Pesa kutoka Vodacom, Emmanuel Pallangyo akigawa viperushi vilivyo na maelezo ya namna huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam jana.


BREAKING NEWS: DMX ATIWA MBARONI
DMX was arrested again in Arizona last night, this time for speeding. DMX was allegedly driving 102 mph in a 65 zone.
Law enforcement tells UNIQUEENTERTZ BLOG ... the rapper was arrested again, after being pulled over last night in Arizona for driving 102 mph in a 65 zone.  And for good measure, Mr. X was driving on a suspended license ... so cops arrested him.He was booked for speeding, reckless driving, and the suspended license -- and has since been released on bond.

CHRISTINA ROC DA BEACH
 
She trying to be a model.


JADAKISS YAMKUMBA YA LIL'WAYNE NA JAY-Z
As Jadakiss is featured on Lil Wayne's new track, "It's Good" off his Tha Carter 4 album, it's no surprise that he has something to say concerning the song's now controversial lyrics.
The track is getting a ton of buzz due to the fact that Weezy is taking shots at Jay-Z on it, so as a good friend of Jay-Z, Jadakiss is running to his own defense. Makes sense, right?

 
ANNA LUKINDO ATINGISHA UK
Anna Lukindo(katikati0 akiwa_na Mariam Kilumanga(kulia) pamoja na mamodo wake.
 URBAN PULSE ikishirikiana na Miss Jestina Blog inakuletea matukio katika picha ya Mtanzania mbunifu wa kimataifa Anna Lukindo
(anaetumia jina la Anna Luks) alipoonyesha mavazi yake ya kibunifu mjini London.

No comments:

Post a Comment