Pages

Pages

Thursday, August 25, 2011

DAVID JAIRO AKALIA KUTI KAVU Dr KJ ARUHUSU UPEPO WA KAMATI TEULE YA BUNGE KUMPULIZA



  Rais Dr.Jakaya Kikwete ameamuru Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw David Jairo asiendelee na kazi hadi hapo uchunguzi dhidi ya tuhumu hizo kukamilishwa na tume teule ya bunge la jamhuri ya muungano.

  Wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema kuwa laiti leo hii Dr.Jakaya akivunja baraza la mawaziri Mh.William Ngereja sidhani kama atarudi katika wadhifa wake.
Nderemo za kumlaki Bwana Jairo jana akiwasili wizarani hapo zilikuwa namna hii,ni wazi walijiandaa kwa tukio hilo.


MISS UTALII DODOMA KUFANYIKA IDD PILI
Lilitarajiwa kufanyika siku ya Idd Mosi, kwenye ukumbi wa ukumbi wa Royal Village, kwani kampuni na wadau mbalimbali wamejitokeza kudhamini.
Huku shindano hilo la Miss Utalii Dodoma 2011/2012, na linatarajiwa kushirikisha warembo wapatao 18 kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Dodoma.
Kampuni ya Dodoma Innovation and Production Limited, ndiyo  wazalishaji na wasambazaji wa maji ya kunywa ya ‘A-SANTE Water’, ndiyo ya kwanza kuthibitisha kudhamini shindano hilo kupitia maji hayo.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Constantine Boehl, alisema kuwa kampuni yake kupitia maji ya Asante, wanadhamini shindano hilo kwa sh milioni tano, ikijumuisha fedha taslimu na bidhaa za maji ya kunywa.
Alisema wameamua kudhamini shindano la Miss Utalii Dodoma 2011/2012, wakiamoni kwamba ni moja ya njia ya kusaidia kuutangaza Mkoa wa Dodoma kitamaduni, kiuwekezaji na kitalii pia.
Alisema hiyo itakuwa ni fursa ya pekee kwao kutangaza bidhaa zao, zenye hadhi ya kimataifa ambazo wanazalisha huko huko Dodoma.


RIHANNA NA STAREHE KWENDA MBELE!!
If there is a Rihanna and J. Cole sex tape, Rihanna is not in the least bit worried about it.
RiRi was busy swimming in the waters of Italy and popping bottles on a boat with her girls. She even let her best friend Melissa get between her legs and sip champagne!


LIL' WAYNE ATOA MGOMA NA JADAKISS
Lil Wayne
  Just like the earthquake that hit New York City, Washington D.C. and Virginia, Lil Wayne's new song featuring Jadakiss and Drake "It's Good," came out of nowhere. 


WILL SMITH NA MKEWE BADO PENZI MOTOMOTO 
Moments after their romantic Malibu brunch this morning, Will Smith and Jada Pinkett hit up the nearby Malibu Colony Company for some houseware shopping ... both grinning ear to ear.

No comments:

Post a Comment