Pages

Pages

Tuesday, August 23, 2011

EXCLUSIVE:BONGO STAR SEARCH MAJONZI TUPU..!!

Mary Banyuka akiangua kilio huku akitweta mara baada ya kumwagwa katika duru hilo. Mary Lucas, akiangua kilio baada ya shostito wake Mary Banyuka, kuaga mashindao hayo .Sarafina Mshindo akikamua jukwaani hapo.  Sarafina Mshindo akiwa kaweka pozi ile kisexy zaidi,wiki iliopita aliponea chupuchupu kulamba galasha katika mashindano hayo.


MISS LINDI MWENYE TUMAINI LA KUPELEKA TAJI NYANDA ZA KUSINI


Loveness Flavian # 24.wote wa mikoa ya ya nyanda za kusini tumsapoti binti yetu,ikiongozwa na Shaa muandaaji wa Miss Lindi 2011.


BREAK NEWS;MUMEWE TOYA AKAMATWA


Toya Carter's husband, Memphitz, has been arrested for trying to bring a gun on a plane. Just months after being married, Lil Wayne's baby mother's husband might be doing some time. 


AJALI YA MBUNGE ILIVYOKUWA
Mbunge mteule kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW),Mussa Khamis Silima aliyepata ajali Jumapili jioni katika eneo la Nzuguni mkoani Dodoma,amefariki dunia leo Hospitali ya Muhimbili.
Marehemu Silima alikimbizwa Muhimbili kitengo cha MOI kwa matibabu zaidi na alimpoteza mkewe,Mwanaheri Fahari kwenye ajali hiyo na kusafirishwa kwenda kijiji cha Kiboje-Kusini Unguja,huku yeye na dereva wake kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospital ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.


KIZAAZAA MOROGORO ROAD 
Baadhi ya watu wenye hasila wakiwa wamefunga barabara ya Morogoro eneo la jangwani Dar es salaam jana baada ya mtu mmoja kugongwa na kukosa msaada.  Kama unavyoona hali ilikuwa tata!


KIM KARDASHIAN YUKO HONEYMOON NA MUMEWE
Kim Kardashian and Kris Humphries are on their way overseas for their honeymoon.
The newlyweds were spotted walking through the airport when the world got a great glance of Kim Kardashian's iced out wedding ring and we got the photos.
While walking through LAX Kim's hair got in her face and when the reality star brushed it out of her face her ring almost blinded the cameramen. 


SWAGGA ZA KE$HA NA LMFAO NY
 

They say don't bring sand to the beach, so instead Ke$ha brought the sleaze.
The auto-tuned party girl was joined by Cali boys LMFAO at the Nikon Theater at Jones Beach theatre on the New York stop of 'The Get $leazy' tour.
In an arena full of young glitter-faced girls, Ke$ha literally tore down the house with glitter bombs and dance scenes that ended in broken drum cymbals.

No comments:

Post a Comment