Pages

Pages

Monday, August 22, 2011

MREMBO ANGELA SIMONS APONDA RAHA LAS VEGAS


The beautiful and always classy Angela Simmons has taken to the city of sin to have a good time!
This weekend Angela went to Las Vegas to party it up with her girls and she took some pictures of her night.
The starlet started off pool-side taking in the desert sun. At night she went for dinner with her girls and raised a glass to the night.


WATOTO WA KIKE WAINULIWA KATIKA MASUMBWI
Bondia YOhana Robart wa kambi ya Ilala akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na mtoto, Zainabu MHamila 'IKOTA' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi hiyo juzi.


KIM KARDASHIAN KUINGIZA $17.9 MILLION BAADA YA HARUSI YAKE
Kim Kardashian looked like an Armenian princess this past weekend as she was escorted down the aisle of ‘her wedding by step-dad Bruce Jenner. The special occasion, which is being pegged as ‘Hollywood’s Royal Wedding’ by news outlets, was held at a private estate in Montecito, with Kim’s sisters, Lamar Odom and Rob Kardashian rounding out the wedding party.


BREAKING NEWS:LIL' WAYNE APATA AJALI
0822_lil_wayne_BN_TMZ-01Lil Wayne needed 9 stitches to close a bloody wound over his left eye last night ... after crashing HARD at a skateboard park in St. Louis.
Weezy was treated at a local hospital -- and one witness
told a local TV station the rapper was accompanied by several members of his entourage. According to the hospital, Wayne was treated and released.



FAMILY DAY YA WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA

Warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakishuhudia Michael Jackson wa Bongo ambapo warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania walitembelewa na ndugu na jamaa zao kutoka sehemu mbalimbali.
Warembo wakicheza na Nyoka wa kundi la Wanne Star pamoja na wasanii wakundi hilo.
Msanii Wanne Star katikati akipiga picha na baadhi ya warembo wakati wa sherehe ya siku yao ya kukutana na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki jana kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View jijini Dar es salaam.

WAASI WAMPUMULIA GADDAFI PUNDE ANANG'OKA

Waasi wa Libya wako Tripoli
Mapigano makali yanaendelea karibu na makazi ya kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi baada ya waasi kudhibiti sehemu kubwa ya mji wa Tripoli siku ya Jumapili.
Usiku wote kulikuwa na umati wa watu wakishangilia katika bustani ya Green Square, awali eneo hilo lilikuwa likiwakilisha sura ya maandamano ya watu wanaomuunga mkono Gaddafi.
Waasi walikumbana na upinzani mdogo walipoingia kutokea mashariki, kusini na magharibi.
Msemaji wa waasi anasema majeshi ya Gaddafi bado yanadhibiti asilimia 15-20% ya Tripoli.
Waasi pia walisema wamemkamata mtoto wa kiume wa Kanali Gaddafi Saif al-Islam, lakini hakujawa na taarifa aliko Kanali.

No comments:

Post a Comment