Pages

Pages

Sunday, August 21, 2011

Dr.KIKWETE ATUPIA PAMBA NYEPESI

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa Lindi,hapa rais wetu alioneka kitofauti baada ya kutupia pamba nyepesi(tisheti ya mikono mirefu na jeans) na kiatu moja matata sana,alitoka poa kiujumla.



UBALOZI WA TANZAIA  UK WAFUTARISHA
         Aziza Ongala
      Mambo kufuturu kwa nidhamu zaidi
      Wadau wakichukua misosi(futari)
  Ubalozi wa Tanzania Hapa London Leo uliwaalika watanzania wote kutoka madhehebu na dini mbalimbali kuja kupata futari ya pamoja walioandaa ikiwa ni ishara njema ya kuonyesha amani,upendo, ukarimu kwa watanzania wote.
  Vyakula vya aina mbalimbali viliandaliwa  na vilipikwa katika hadhi ya kitanzania.
  Naibu Balozi Mh Chabaka aliwashuru wadau wote ambao waliweza kuja na kujumuika na kufuturu kwa pamoja.
  Aidha Mh Balozi aliahidi kushirikiana na watanzania kwa ukaribu zaidi katika hali na mali pia kuwaomba kutoa ushirikiano wao na ubalozi katika kuboresha mawasiliano na utendaji wa kazi ili kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Aliendelea kwa kusema Ubalozi upo kwa ajili yetu hivyo tuutumie ipasavyo.




BATA ZA CHRISTIAN MILLAN NA RAFIKIZE UFUKWENI
Christina Milian hit the beaches of Malibu yesterday with her friends.
C Mili relaxed on her Saturday afternoon where she posed for photos with friends and hung out in and out of the water. Normally an ATL girl, she was in town visiting the Malibu beaches of Cali for a friend's bridal shower. 


 WAREMBO WA MISS TANZANIAWAREJEA VODACOM HOUSE DAR
 
Washiriki 30 wa shindano la Vodacom Miss Tanzania waliokuwa kwenye ziara ndefu ya kimafunzo mikoa ya Morogoro, Kilimanjaro na Arusha wamemaliza ziara hiyo na wamerejea ndani ya jumba lao 'Vodacom House'.
Ziara hiyo ya mafunzo iliyochukua takribani siku kumi iliwafikisha walimbwende hao kwenye Hifadhi za Taifa za Mikumi, Ngorongoro, Tarangire na shule ya wasichana ya Maasai iliyopo wilayani Mbonduli.
Meneja Uhusiano na Habari za Mtandao wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu aliyataja maeneo mengine waliyotembelea kuwa ni shule ya watoto wa kimaasai Monduli, Kaburi la hayati Moringe Sokoine, kiwanda cha Bia TBL tawi la Arusha na mitambo ya simu ya Kampuni ya Vodacom ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano hilo.
Akiielezea ziara hiyo ya mafunzo aliyoiita ya mafanikio, Nkurlu amesema warembo hao wamepata fursa ya kujifunza mengi hususani kuhusiana na utalii wa ndani.
“Tumemaliza salama ziara hii ya mafunzo iliyowapa zaidi ufahamu walimbwende hawa kuhusiana na historia na rasilimali zilizopo nchini. Washiriki wamejionea maeneo mbalimbali ya kitalii ikiwemo Ngorongoro Crater ambapo wanyama pori na binadamu wanaishi katika eneo moja,” alisema.


RIHANNA AWARUSHA ROHO WAINGEREZA
Rihanna is bringing sexy back to the UK this weekend. The 23-year-old was spotted last night grabbing dinner with BFF Melissa at Nozomi and today she took her talents to the stage.
Rihanna wore some serious daisy dukes, a sexy crop top and leather jacket which she later ditched as she performed at UK's V Festival at Weston Park. The Barbadian beauty wore fishnets underneath her high waisted yet barely-there denim cut-offs.


POLISI KIGOMA YANASA 52, YUMO MWIZI WA VOCHA ZA SIMU ZA MAMILIONI YA SHILINGI

KIGOMA JUMAPILI AGOSTI 21, 2011. Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu 52 kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za ujambazi wa kutumia silaha na wizi wa vocha za simu za mkononi zenye thamani ya karibu shilingi milioni 63.2.
Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma ACP Fraisser Kashai, amesema kuwa watuhumiwa 21 wamekamatwa katika wilaya ya Kigoma mjini, watuhumiwa 18 wamekamatwa katika wilaya ya Kasulu na wengine 13 katika wilaya ya Kibondo.
Amesema watuhumiwa wote hao wamekamatwa katika Operesheni maalum inayoendelea katika wilaya zote za mkoa huo ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupambana na vitendo vya kihalifu vikiwemo vya ujambazi wa kutumia silaha, utekaji wa magari na uporaji wa mizigo na fedha za abiria.

RAY J NA GIRLFRIEND
Ray J may have been axed off of Kim Kardashian’s extravagant wedding list but he definitely didn’t let her forget that he helped make that azz famous. Before she walked down the aisle of her wedding, Ray J allegedly sent her a text that read, ‘”And to think you really have me to thank for all this
Meanwhile, while Kim celebrated her big day with the sounds of Robin Thicke and Earth Wind and Fire at the reception, Ray J was spotted in Vegas with his new girlfriend, Olivia. He definitely has a type.



NYETI KULIKO NYETI TULIZONAZO
Duru za uchambuzi wa mambo ya kisiasa zinasema kuwa bei ya bastola nchini Somalia iko chini kuliko bei ya mkate mmoja,kwani ni rahisi kupata siraha kuliko kupata mkate kutokana na baa la njaa linaoikabili nchi hiyo.



NICOLE SCHERZINGER AJIRUSHA VISIWA VYA HAWAHII
Nicole Scherzinger grew up in Honolulu, Hawaii and squeezed in a trip back to her homeland before her upcoming role as a judge on X Factor takes over.
Nicole already had a perfectly bronzed complexion before hitting the beach but she still soaked up the sun during her mini vacay. The 33-year-old, yes, 33, showed off her bikini body in Honolulu after arriving with her Formula 1 star fiance Lewis Hamilton, 26.

No comments:

Post a Comment