Pages

Pages

Saturday, August 20, 2011

MISS KILIMANJARO 2011 YUKO SEXY ILE MBAYA..!!

Asha Mohammed.
Asha Mohammed ndiye Miss kilimanjaro 2011 umri wake ni miaka 20 tu,anasoma chuo cha kampala university pia anapendelea kuogelea,kusikiliza miziki na kusafiri.
Asha ni mrembo mwenye mvuto wa hali ya juu yaani yuko hot & sexy,matarajio yake ni kuwa an International model,anapenda ndizi nyama na kupiga picha za mvuto kama model photogenic.


WAREMBO WA MISS TANZANIA WATEMBELEA TBL ARUSHA
Warembo wa Miss Tanzania wakiwa na sare za Redd's ndani ya kiwanda cha bia wakipata maelezo namna kilaji kinvyopikwa.
Ziara hii iliandamana na waandishi toka vyombo mbalimbali.
Ziara inaendelea wadau..
Warembo wakiwa nadhifu kwa sare za REDDS kiwandani humo.
Warembo wakipozi kwa picha ya pamoja kiwandani humo.
Mhh warembo motomoto..
Maelezo yanaendelea
Maelezo yanaendelea toka kwa wahusika.
Hapa REDDS  hapa picha ..safi kweli kweli..!!
Ziara ilihitimishwa kwa staili hii.


 BIEBER NA GOMEZ KAMA KUMBIKUMBI
  Justin Bieber and Selena Gomez ditched the west coast for a romantic stroll through downtown Philadelphia yesterday afternoon. The lovebirds caused quite a commotion walking hand in hand as paparazzi followed their every move into the skyscraper shopping complex, Liberty Place.
  One fan twitter, “Just saw Justin Bieber & Selena Gomez inside Liberty Place. Paparazzi almost stamped’d me. They’re both really short.”


ARSENAL YADUNDWA NA LIVERPOOL
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa ameshika tama baada ya timu yake kufungwa na Liverpool kwenye Uwanja wa nyumbani, Emirates leo mabao 2-0. Poleni The Gannaz.


LA LA NI MAHABA TU!!
La La Anthony is no stranger to TV. Her latest gig on the small screen will be her upcoming VH1 reality show, "La La's Full Court Life" which is set to premiere this Monday, August 22 at 9PM on the east coast.
La La celebrated the upcoming premiere of her show this week in LA at The Mark alongside her hubby Carmelo Anthony as well as friends Serena Williams, Tyrese, Snoop Dogg and his wife just to name a few.

No comments:

Post a Comment