Pages

Pages

Friday, August 19, 2011

AMBER ROSE YUKO TAYARI KUMZALIA MTOTO WIZ KHARIFAH

 
Amber Rose and Wiz Khalifa have been going strong for a while now and she’s absolutely convinced that he’s the one she wants to marry and have kids with. She recently sat down with uniqueentertz and revealed that she’s just about ready to be a mother, although her career is her priority.



WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WATEMBELEA MITAMBO YA VODACOM KANDA YA KASKAZINI
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzanzia 2011, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akiwapa maelezo mbalimbalimbali kuhusiana na mitambo ya kurushia mawasiliano ya simu ya kampuni hiyo iliyopo mjini Arusha wakati warembo hao walipotembelea kituo hicho. Warembo hao wapo katika ziara ya kimafunzo na kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani Kanda ya Kaskazini.
(Picha na Mpigapicha wetu)



WACHIMBAI WADODOWADOGO WALILIA VIFAA DUNI
Shughuli zikiendelea katika mgodi wa Chunya.
Wachimbaji wadogowadogo wa madini mkoani Mbeya wameiomba Serikali kuwawezesha vifaa vya uchimbaji wa madini ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi zaidi.
Ombi hilo limetolewa na mmoja wa wachimbaji hao Bwana Daniel Mwaisabila wakati wa mahojiano kuhusu namna ambavyo Serikali ingeliweza kuwasaidia katika shughuli zao za madini.



NYETI KULIKO NYETI TULIZO NAZO
Kwa mujibu wa Mh.Mbowe kuwa Mlima kilimanjaro hauna vyoo pande za kule juu..Hii ni kukubaliana kwamba viongozi na watu maarufu ndani na nje ya Tanzania huwa wanajisaidia vichakani na kujisafisha kwa maji waliochukua kwa matumizi ya kunywa.



HARUSI YA BOBI WINE YAINGIA VIRUSI

 siku chache kabla Bobi Wine afunge ndoa nchini Uganda wezi wameanza kujipatia ganji baada ya kuchapisha kadi feki za harusi na kuziuza isivyo harlali.
Bobi na Barbie wamepanga kuwaalika wageni wapatao 500 mpaka 1,000 na huenda idadi hiyo ikazidi coz inawezekana wageni wakazidi kutokana na kazi hizo feki na inasemekana ni vigumu kujua kadi hizo kama ni feki na zimetengenezwa kwa ufundi wa hali ya juu na Bobi Wine ameachwa hoi na issue hiyo.


JENGA PICHA KUWA HUYU NI MKEO ANAFANYA KAZI YA KUIGIZA SASA!
Huyu ni muigizaji wa filamu anaitwa Anjela Griffin,hapo yupo location wakishoot series ya sky 1.

MILLION 72 ZAMPELEKA JOSEPH OWINO CHAMAZI

 Beki wa kimataifa wa Uganda Cranes Joseph Owino amejiunga rasmi na Azam Fc kwa ada ya uhamisho wa dola za kimarekani 30,000.
Owino ambaye msimu uliopita alikuwa akiitumikia Simba Sports Club kabla ya kupata majeraha ya goti yaliyomweka nje ya uwanja kwa msimu wote uliopita na mwishowe aliachwa na Simba katika usajili wa msimu huu.

No comments:

Post a Comment