Pages

Pages

Thursday, August 18, 2011

BREAKING NEWS:ASKARI WAZINZI WAZINI KAZINI..!!

Jeshi la Afrika Kusini limeingia kwenye kashfa baada ya Askari wawili toka nchini humo kuiingia kwenye kashfa baada ya kujulikana kuwa walifanya mapenzi wakiwa kazini tena na uniform za kazi.
Mwanaume ni Askari Magereza toka jela ya Krugersdorp-Soweto na wa Kike ni toka jeshi la polisi walifanya uchafu huo kwa dakika 15 na walitupa mbichi wakiwa chumba cha kusubiria wakiwa hospitali na Njemba ilifunguka kuwa alirekodi makusudi iwe kama ushahidi,'wife' wake huyo asije kumshitaki kuwa alimbaka lakini bahati mbaya video hiyo chafu ilimfikia mtu asiyependa uchafu na kwa sasa askari hao wanakabiliwa na shutuma hizo nzito.


      DAZZZ.. WATSUP!
Dada yetu silvia mashuda akiwa katikati na warembo wengine wa dunia.



TRACY SOSPITER  AWA VODACOM MISS TANZANIA PHOGENIC 2011
Mshindi wa taji la Miss Photogenic 2011, Tracy Sospeter akiwa katika poazi baada ya kutajwa kuwa ndie mshindi katika shindano hilo dogo katika shindano la Vodacom Miss Tanznia 2011 na kufanikiwa kuwa mrembo wa pili kuingia katika hatua ya 15 bora ya shindano hilo. Mshindi huyo alitangazwa akiwa mjini Arusha jana
Warembo Vodacom Miss Tanzania 2011, waliofanikiwa kuingia tano boira ya shindano la Miss Photogenic 2011 kutoka kulia , Trecy Sospeter,Jeniffer Kakolaki, Chiaru Masonobo, Christine William na Glory Lori wakipozi kwa picha ya pamoja baada ya kutajwa kufanikiwa kuingia katika hatua hiyo jana mjini Arusha.


DRAKE NA SERENA WILLIAM WAANZA UHUSIANO
If you've been wondering if Drake and Serena Williams are dating then you don't have to wonder any longer. 
Serena Williams was asked about her relationship/friendship with Drake by The Star:
Williams slammed the racquet down in her hand and doubled up with a scream.
She looked around to her supporters — her father Richard, and, elsewhere, Toronto rapper Drake.
Later, she would sigh exaggeratedly when asked what the deal is between her and the 24-year-old musical polymath.
“Oh, man. Really?” she said. “We’re really close friends. Can’t be too close to a friend nowadays, I guess.” 
Well there you have it, we just have to see if Serena will be fuel for Drake's music in the months to come



SABCO LAPATA AJARI

Basi la Sabco linaloenda Mbeya-Dar,Mbeya, kuja jijini Dar es Salaam limepata ajali eneo la Tanangozi wilaya ya Iringa vijijini baada ya tairi la basi hilo kupasuka.



VODACOM MISS TANZANIA WATIMBA TARANGIRE

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa katika hifadhi ya taifa ya Tarangire mkoani Manyara jana walipjwenda kujionea wanyama na vivutio mbalimbali vya utalii katika hifadhi hiyo ya tano kwa ukubwa nchini.


ANUSURIKA KIFO BAADA YA KURUSHWA GHOROFA YA TANO

  
Unaweza usiamini kwamba madirisha yaliyokuwa yameachwa wazi ndiyo yaliyookoa maisha ya mwanamke huyu wa nchini China ambaye alijirusha toka ghorofa ya tano. GONGA World News Kwa habari kamili.

No comments:

Post a Comment