Pages

Pages

Wednesday, August 17, 2011

FLORAAH MVUNGI: BONGO MOVIES INA RUSHWA YA NGONO!!

MSANII wa filamu Flora Mvungi, amefunguka live na kutoa siri nzito ilikuwa moyoni mwake ya kuombwa rushwa ya ngono kinyume na maumbile kutoka kwa wasanii wakubwa na watu maarufu kwa lengo kumpa nafasi zaidi ya kucheza kazi zao.
kitendo hicho cha kuombwa rushwa ya ngono tena ya kinyume na maumbile kilimpa wakati ngumu kwa kuwa hana tabia hiyo chafu ya udhalilishaji wa kijinsia.
Masharti haya mazito alipewaili aweze kuonekana kwenye filamu zao
"Kwa kweli nilikuwa katika wakati mgumu unajua wengi walidhani mimi ni mwanamke ambaye naweza kujitoa kama wao wanadhani na ilifika kipindi walinipa hadi masharti ya kucheza kwenye filamu zao," aliongeza.

VODACOM MISS YANZANIA WATEMBELEA NGOROMGORO
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiangalia wanyama wakati warembo hao 30 walipotembelea Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro juzi kujionea maajabu mbalimbalimbali yaliyomo katika hifadhi hiyo. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufika katika lango kuu la kuingilia hifadhi ya Bonde la Ngorongoro juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.

Warembo wanaoshiriki la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakikabidhi msaada wa chakula kwa mlemavu, Nanyakwa Olumindi, anae Hudumiwa katika Kituo cha Huduma ya Walemavu Monduli juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo na kufanya shughuli za kijamii
Warembo wanaoshiriki la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakimpa ndizi mlemavu, Melkiori Mamasita, anae Hudumiwa katika Kituo cha Huduma ya Walemavu Monduli juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo na kufanya shughuli za kijamii

 

WAKUFUNZI WA SOKA TOKA ARSENAL WATUA KUFUNDISHA SOKA JIJINI MWANZA

Wakufunzi wawili wa soka toka Club ya Arsenal ya London nchini Uingereza wamewasili jana jioni majira ya saa 1:30 jijini Mwanza kwaajili ya kutoa mafunzo kwa timu za soka za vijana wadogo wenye umri wa miaka 17 kwenda chini. Wakufunzi hao Harry Webb na Francesca Miles wameitonya bogu hii kuwa wamekuja kutoa mafunzo ya sok yatakayodumu kwa muda wa wiki sita kwenye kituo kilichotoa mualiko cha Tanzania street children academy.



MTANZANIA AMTAMBIA MKENYA
BONDIA Yohana Robert ameapa kumsambaratisha mpinzani wake kutoka Kenya James Unyango katika raundi za kwanza la pambano lao.
Pambano hilo linatarajia kuwa katika uzito wa kg 61 katika raundi 6 ambapo litafanyika Sikukuu ya IDD pili katika uwanja wa Jamuhuri, Morogoro.




BEYONCE YUKO TAYARI KUZAA SASA

Beyonce is ready to have kids. During her intimate show at Roseland Ballroom, Queen Bey spoke about how Jay-Z, put a ring on it, and now she's talking about how she's ready to be a mother. The "Best Thing I Never Had" singer told InStyle Magazine, " I want to have kids."

1 comment:

  1. Duuh, mambo hayo Tunashukuru mkuu kutumegea habazi hizo. TUPO PAMOJA

    ReplyDelete