Pages

Pages

Wednesday, August 17, 2011

BREAKING NEWS: RUBANI AFANYA NGONO KWENYE KITI CHA URUBANI



Ndege ya shirika la ndege la Cathay Pacific
Shirika la ndege la Cathay Pacific la Hong Kong limeanzisha uchunguzi mkali kufuatia skendo kubwa lililoikumba shirika hilo la ndege baada ya kuonekana kwa picha za rubani wake akila uroda na mhudumu wa ndani ya ndege kwenye kiti cha rubani.
Picha zimezagaa kwenye mitandao zikimuonyesha rubani wa ndege ya Cathay Pacific akiacha majukumu ya kazi yake na kuamua kula uroda na mhudumu wa kike wa ndani ya ndege.
Picha hizo zimelitikisa shirika la ndege la Cathay Pacific lenye makazi yake mjini Hong Kong.
Shirika hilo la ndege limeamua kuwafukuza kazi rubani na mhudumu huyo wa ndani ya ndege baada ya picha hizo kuzua maswali ya usalama wa abiria ndani ya ndege za shirika hilo.
Ili kuzuia picha hizo zisisababishe madhara zaidi, Cathay Pacific liliwahi kutoa taarifa iliyosema kuwa picha hizo zilipigwa kabla ya ndege kupaa.
Miongoni mwa picha zilizozagaa kwenye mitandao zinamuonyesha mhudumu huyo wa ndani ya ndege akinyonyana sehemu za siri na rubani huyo kwenye kiti cha rubani.
Picha hizo zilianza kuonekana kwenye blogu mbali mbali za nchini China na kupelekea shirika hilo kuanzisha uchunguzi wa ndani juu ya picha hizo.
Awali picha hizo zilionekana kama ni za kufoji zenye lengo la kuharibu sura ya Cathay Pacific lakini baada ya uchunguzi kukamilika iligundulika kuwa picha hizo zilikuwa ni za kweli.
Magazeti ya China yaliripoti kuwa wawili hao walikuwa ni wapenzi na picha hizo ziliibwa toka kwenye kompyuta ya rubani na kusambazwa kwenye tovuti mbalimbali duniani.



LIGHTNESS AGAIN..!!
Lightness Model.


MKE WA CHAMELIONE ATIMKA NA MTOTO BAADA YA KUBADILI DINI
   Ni Baada ya Jose Chamelone kubadilisha dini na kujiita Japhar Gadhafi Mayanja,imezuka beef kati yake na wife wake Daniela Atim baada ya kuchukua kilicho chake na kusepa na watoto wake Alhpa Mayanja na Murcus Abba Mayanja

Daniela aliondoka pande za Seguku wanapokaa na Ghadafi na kusepea pande za Mutungo Biina kwa mjomba wake ikifunguliwa kuwa familia ya Daniela waliitisha press conference na kusema kuwa hakubaliani na uamuzi wa mkwe wao coz wanajua walifunga ndoa halali kwa dini ya kikristo tena Roman Catholic mwaka 2008....
Uncle wa Daniela ni Padri anaitwa Fr. John Scalabrini amefunguka wanaheshimu sana dini ya kiislam,lakini wasingependa kumuona mtoto wao akilazimishwa kuingia kwenye dini hiyo na kumtaka Ghadafi Chameleone kwenda kusali kama kawa kwenye kanisa la Binna Cathedral walipofunga ndoa na Daniela na kuachana na imani yake hiyo mpya,nao ndio watamruhusu mtoto wao Daniela atatia tena maguu pande za Seguku, nyumbani kwa Ghadafi Chameleon.


 
STAR WA BASKETBALL USA AMWAGA MANOTI MONDULI
   Mchezaji wa Orlando Magic Star Dwight Howard akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa alipotembelea jimbo la Monduli hii leo.Howard kupitia taasisi yake ya D12 Foundation anampango wa kujenga shule nchini Tanzania.


 TFF YAILIPA YANGA DENI LAKE LA MILIONI 18.5
     TAARIFA NILIZOZIPATA HIVI PUNDE SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU NCHINI TANZANIA ( TFF ) HATIMAYE LIMEILIPA YANGA DENI LAKE LA SHILINGI MILIONI 18.5 ZIKIWA NI SEHEMU YA PESA ZA ZAWADI YA BINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM PAMOJA NA ZAWADI YA GOLIKIPA BORA WA MSIMU ULIOPITA YAW BERKO.
   HAPO JANA YANGA ILITANGAZA KUTOIPELEKA TIMU UWANJANI KWENYE MCHEZO WA NGAO YA HISANI LEO HII DHIDI YA SIMBA MPAKA ILIPWE DENI LAKE HILO.



MBWEMBWE ZA MASTAA WA BET

This Fall, our favorite ‘Girlfriend’, Tracee Ellis Ross is returning to TV with her new scripted BET series,  “Reed Between The Lines.”  In BET’s attempt to recreate the positive, family theme of the classic show ‘The Cosbys’, Tracee will play a psychiatrist, wife and mom of three alongside Malcolm Jamal-Warner who co-stars as her husband, an English teacher.

No comments:

Post a Comment