Pages

Pages

Tuesday, August 16, 2011

WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WAINGIA MONDOLI


 Warembo wakiwa ukumbini
 
 Ulifika wakati muafaka wa kugonga menu...warembo hawakujivunga.
 Dada wa Mbunge wa jimbo la Monduli na Waziri Mkuu mstaafu Kalaine Lowasa akiwavisha warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, mgolole wa kimasai wakati warembo hao walipoandaliwa tafrija maalum ya kuwakaribisha katika mji wa Monduli.Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum Arusha, Namelok Sokoine. 
Vazi hili ni laheshima sana kwa jamii ya Kimasai na pindi unapokaribishwa katika Boma na kuvishwa na mwenyeji wako inaaashiria heshima kubwa sana. Hapa warembo wote wakiwa wamevalia vazi hilo.
 
 Mgeni rasmi alifungua mziki na Miss Tanzania 2010.
 Ulifika wakati wa kwaito na hapa ni Mke wa Mbunge wa Monduli, Regina Lowasa na Mbunge Namelok Sokine wakiongoza safu ya kulishambulia jukwaa na warembo.
 Wageni waalikwa na wadau wa urembo Monduli wakiwa katika tafrija hiyo.
Robert Lowasa "Bob" akila snap na baadhi ya warembo baada ya tafrija hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa E'Manyata Lodge 
"A real Maasai Shelters Place to Stay"



NEW MODEL: JANETH
Ni model wa Video,matangazo,ushering,movie na runway,ukitaka fanya kazi na model huyu wasiliana na Uniqueentertz blog.



B.O.B APONDA RAHA NA MABINT WA SINGAPORE
Seeing rappers in America blowing money fast is becoming a little redundant, so they're switching it up and living it up in other countries.
Grand Hustle rapper B.o.B. took a break from the tax talk and politics in the States to indulge in the "High Life" in Singapore.
Sights that you probably won't get to see in your lifetime are graciously brought to you by B.o.B. and Motion Family.



MYA AMWAGA RADHI KWA MASHABIKI
 Mambo iko hapo sasa...!!
Mwanamuzuki Mya akiburudisha wapenzi wa muziki wake.



MISS TANZANIA WALIPOTEMBELEA SNAKE PARK ARUSHA

Mshiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, Glori Lori akiwa amejivisha nyoka shingoni huku wenzake wakimwangalia wakati warembo hao na wenzao walipotembelea eneo la Snake Park mkoani Arusha jana.
 Huyu nae alijaribu lakini alikuwa ni muoga kupita kiasi.
 Warembo wakiangalia nyoka aina ya chatu.

No comments:

Post a Comment