Pages

Pages

Thursday, August 4, 2011

JAMBAZI LA CRDB LAPEWA KICHAPO KIKALI NA POLISI


Askari Polisi wakimdhibiti kijana aliyekuwa akishukiwa kuwa jambazi, ambaye alifanya fujo kwa kupiga mawe vioo vya benki ya CRDB,Posta Mpya, Dar es Salaam jana na kusababisha wateja na wananchi kukimbia ovyo.


UTI KAZUGA KAMUOA MUNACHI GAIL

Aliekuwa Mshindi wa Big Brother Africa-All Stars 2010,Uti Nwachukwu toka Nigeria amepiga picha zilizowashitua fans wake akionekana kama amefunga ndoa,kwenye uzinduzi wa label ya nguo za harusi za Ohimai Atafo iitwayo Wedding By Mai nchini Nigeria. 
 Amepiga picha hizo na Munachi Gail Teresa Abii Nwankwo ambaye ni Rapper/Hip Hop Artist,songwriter, model na TV presenter toka Nigeria.



USHER NA MAJUKUMU YA FAMILIA
   Usher was spotted in the Soho area of New York City this afternoon manning the double stroller under the eyes of his bodyguard.
His two sons, Usher Raymond V and Naviyd Ely seemed to be relaxing in the comfy stroller as their daddy was pushing them around town.

No comments:

Post a Comment