Pages

Pages

Saturday, August 6, 2011

REDD'S YAFUTURISHA WAREMBO WA ILALA,TEMEKE NA KINONDONI CITY GARDEN

 Warembo wa kanda za Ilala,Temeke na Kinondoni wakichukua futari tayari kwa kufuturu jana jioni katika hoteli ya city Garden jijini Dar.
Baadhi ya Warembo wa Kanda tatu za jijini Dar es Salaam wakipata ftari ya pamoja
Brand manager wa Redd's akitoa ufafanuzi nia na madhumuni ya kuandaa futari hiyo kwa warembo wa Dar wanaingia kambini jumatatu.
 Vicky akipata msosi wake.
 Kalikumtima utameza kweli lote hilo..!?
Maulus na matunda chakula chake tunakifahamu sisi.
 Jennifer kakolaki.
Husna Maulid akipata msosi
 Alexia Williams miss Ilala namba mbili
 Husna maulid miss kinondoni namba tatu
Jennifer Kakolaki miss Ilala namba tatu
 Queen of Ilala Salha Kifai
 Queen of  Kinondoni Stelah Mbuge
Queen of Temeke.



                       TOP PIC OF DAY
            Lulu



DIAMOND AJIACHIA FUKWENI
Diamond ni girlfriend wa Soulja boy mwishoni mwa wiki ameonekana katika fukwe za outh beach huko USA.



 
RIHANNA ARUDIA NA MPENZI WAKE WA KWANZA
 Rihanna ex-boyfriend 4Rihanna ex-boyfriend 3
Rihanna has been linked to a lot of guys, but this particular one is said to be her very first love.

Negus Sealy, which means "Love God" in Barbados to all the locals, has been spotted with RiRi and the two looked pretty friendly.
kuna habari zinasema kuwa god love amehamia kwa rihanna yeye na begi lake na mapenzi yao yamerudi kama walikuwa hawajawai kuduu.




BREAKING NEWS: GENERALI MAYUNGA AFARIKI DUNIA


Taarifa kutoka nchini India zinaeleza kuwa Mpiganaji wetu Shupavu na Kiongozi mwadilifu, Luteni Gerenali Silas Mayunga (Kusho pichani, akiwa na Msuguli) hatuko naye tena, amefariki leo katika hospitali ya Apollo New Delhi, India ambako alikuwa amelazwa tangu mwezi, Julai 2011.
Generali Mayunga atakumbukwa kwa mengi kwa jinsi alivyotumikia Taifa letu kwa utumishi uliotukuka, atakumbukwa daima kwa jinsi alivyoongoza mapambano ya vita vya Kagera kumng'oa Nduli Idd Amin.
 

RIHANNA ALIVYOFURAHIA VIBOTI HUKO NYUMBANI KWAO BARBADOS

Rihanna is looking smoking hot in a white bikini while riding on a jet ski.

The "Man Down" singer was seen having a great time in Barbados with a group of friends yesterday.

No comments:

Post a Comment