Pages

Pages

Wednesday, August 10, 2011

MWAJABU JUMA AWA MISS TANZANIA TOP MODEL

 Mshindi wa Taji la Top Model Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwajabu Juma akipozi mbele ya camera baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi na mrembo wa kwanza kuingia Nusu Fainali itakayokuwa na warembo 15 bora wa Vodacom Miss Tanzania 2011.
 Mwajabu Juma akionesha makeke yake baada ya kutangazwa...
 Usipokubali kushindwa we si mshindani...warembo wenzake walioingia 5 bora ya Top Model wakishangilia na kukubaliana na matokeo baada Mwajabu Juma kutangazwa.
 Top Model wa Vodacom Miss Tanzania 2011 Mwajabu Juma akipongezwa na warembo wenzake.
Kutoka kushoto ni Jeniffer Kakolaki, Alexia William, Zerulia Manonko, Cynthia Kimath na Mwajabu Juma wakiwa katika pozi kabla ya kutangazwa mshindi.


BLOG YA UKWELI  TZ
http://www.chiniyacarpet.blogspot/.


AMINA NA JOHARI
Amina
Johari
 
Amina na Johari ni wdada ambao hufanya kazi za ushering,matangazo na fashion show,wadau kazi kwenu!!.


ADHA YA MAFUTA JIJI DAR

Hii ni balaa sana,ni mvutano kati ya serikali na wauza mafuta mwanachi ndiye anaeumia.



TOP MODEL MISS TANZANIA AKISAKWA GIRAFFE HOTEL
 Warembo 5 kati ya 30 wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, ambao wamefanikiwa kuingia fainali za kusaka taji la TOP MODEL wakiwa wamejipanga mbele ya majaji baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua hiyo usiku wa Agosti 9,2011 katika Hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam. Mshindi wa taji la TOP MODEL atajinyakulia tiketi ya moja kwa moja ya kuingia Nusu Fainali ya Vodacom Miss Tanzania 2011.
 Majaji wa shindano hilo wakiumiza vichwa kutafuta mshindi. Warembo wote walikuwa wakati lakini 1 ndo anahitajika. Mshindi wa TOP MODEL anataraji kutangazwa leo katika siku maalum ya Waandishi Wa habari kufanya mahojiano na Washiriki hao wa Vodacom Miss Tanzania katika Hoteli ya Giraffe.
 mambo yalianza hapa...
 Walitisha na kuingia fainali
 kura za majaji hazikutosha kuwapitisha hawa lakini walifanya vyema....
 Huyu alifanikiwa kuingia
 hapa kazi ilikuwepo lakini wa kulia alimwacha mwenzake akiingia fainali..
 ilikuwa ni kupima uwezo wa washiriki wa lkunadi mavazi...
 warembo walitisha sana ...
Baadhi ya warembo wakiwa wameketi baada ya kutangazwa kwa warembo walioingia Fainali. Mshindi atatajwa hapo baade enbdelea kuwa nasi Blogu yenu na tuta wajuza nani kaibuka Kidedea.

No comments:

Post a Comment