Pages

Pages

Thursday, August 11, 2011

REDD'S YATOA ZAWADI KWA WAREMBO WA MISS TANZANIA

\
 Brand manager wa REDD'S,Vicky akitoa zawadi kwa warembo wa Miss Tanzania leo katika Hoteli y Giraffe ocean view  jijini Dar.
\
Shughuli hii ilifanyika ndani ya Giraffe ocean view hotel iliyopo jijini Daraes salaam


BEI YA DALADALA NI 1000 KITUO HADI KITUO
Dala dala za mbeya zimepandisha nauli kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi kituo sababu ni kukosekana huduma ya mafuta katika vituo vyote vya mbeya


JINSI WAREMBO WALIVYOINGIA KWENYE JUMBA LA VODACOM JANA USIKU
 Baadhi ya wadau wa sanaa ya urembo kutoka makampuni mbalimbali wakiwa katika tafrija hiyo ya kuwakaribisha warembo katika jumba la Vodacom.
 Warembo wakiwa katika uso wa mshangaa kwa jinsi mambo makubwa wanayofanyiwa katika kambi ya mwaka.
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba (katikati) akiwafundisha namna ya kufungua shampeni warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011.
 Walifauli na kufungua mvinyo huo bila kumwaga hata tone...
 Hakika ilikuwa ni furaha kwao wote...
 Mziki huu bwana vijana hasa warembo kama hawa huupenda sana ni miondoko ya Kwaito.
Ukicheza Kwaito lazima uwe unazunguluka kwa staili na hapa ni moja ya mizunguko hiyo ya kunesa nesa.

No comments:

Post a Comment