Pages

Pages

Thursday, September 1, 2011

EXCLUSIVE:SIKUKUU YA IDDI ILIKUWA BALAAA COCO BEACH

   Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya Jaguar akifanya makamuzi na dada yetu, katika Tamasha la Hapiq Nation, lililofanyika jana Coco Beach Masaki jijini Dar es Salaam.
Jaguar, akiserebuka na dada yetu mara baada ya kuomba mrembo wa kujiachia naye pande hizo.
Baadhi ya Mabaunsa wakimzibiti kijana mmoja aliyedaiwa kukwapua simu katika fukwe hizo.


MISS TANZANIA MWENYE KIPAJI KUSAKWA GIRAFE OCEAN VIEW HOTEL
        Warembo 30 wanaowania taji la Vodacom Miss Tanznia 2011, wanataraji kupanda jukwaani kuchuana vikali katika shindano la kumtafuta mrembo mwenye kipaji (Miss Talent 2011) shindano litakalo fanyika Septemba 3,2011.
  Shindano hilo linalotaraji kuwa kali na la aina yake linataraji kufanyika katika Hoteli ya Kitalii ya Giraffe Ocean View iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. 


MAGUFULIATANGAZA KIAMA DAR
     WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli, ametangaza kiama kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambao wamejenga ama wanaendesha shughuli zao katika hifadhi ya barabara, akieleza kuwa wote watakumbana na dhoruba ya bomoabomoa wakati wowote kuanzia sasa. 
     Tamko hilo la Dk Magufuli ni kama lile alilolotoa mwezi Januari mwaka huu, kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kusimamisha utekelezaji wake, huku Rais Jakaya Kikwete naye akimtaka apunguze makali ingawa anatumia sheria na badala yake kuingiza suala la ubinadamu. 
   Lakini safari hii Dk Maghufuli amekuja kwa mtindo ule ule lakini hakuweka wazi ni lini hasa operesheni itaanza kutekelezwa na wala kama maagizo ya Rais Kikwete na Waziri Pinda, atayazingatia. 


MARC ANTONY AMLILIA MKEWE J-LO

Marc Anthony is starting to miss his ex-wife Jennifer Lopez.
In effort to clear up some of the rumors following the couple's split, the 42-year-old singer decided to break his silence.
In an exclusive interview set to air later this week, Marc Anthony admitted to ABC that he'll always love J.Lo.



WAASI WA LIBYA WAANZA UBAGUZI WA RANGI
Waasi wa Libya wamekuwa wakiwabagua waasi wenye rangi nyeusi bila kujali ni walibya wenzao.

No comments:

Post a Comment