Pages

Pages

Friday, September 2, 2011

TBL YATEMBELEWA NA WAREMBO WA MISS TANZANIA LEO

Brand manager wa kilaji cha REDD'S Victoria Kimaro akiwapokea warembo wa miss Tanzania kiwandani hapo.
     Vicky akiongea na waandishi wa habari.
        Muelezaji akifafanua namna bia inavyopikwa kwa kutumia computer.
      Mkemia akitoa maelezo jinsi ya kuchanganya ili kuunda kilevi chenye ladha.
 Vick akitoaufafanuzi wa jambo flani dhidi ya warembohao.
 Ziara iliendelea kiwandani humo hiku kamera ya uniqueentertz ikiwa sambamba na warembo hao.
   Kuna wakati warembo walichoka ikabidi wapeane kampani..siunajua warembo hawatembeagi sana kwa mguu ...
 Wrembo wakitizama mtambo wa kutengeneza kilevi cha REDD'S kiwandani humo.
Warembowakisema "REEEDD'S" huku wakiwa na chupa za kinywaji hiko mahususi kwa warembo wote duniani.
 Menu time,warembo wakijisakafia misosi.
 Brand Manager wa REDD'S Vicky Kimaro akiwa na warembo Alexia William(kushoto) na Salha Israel(kulia).
 Miss Temeke 2011 akiwa Jannifer Kakolaki
 Leyla juma miss Ruvuma 2011 akiwa katika pozi.
 "Warembo wa mwaka huu si mchezo acha tu nijirambe vidole" michael maurus akitafakari warembo hao leo.

MTANZANIA ANAYE IPEPERUSHA VEMA PENDERA YA TANZANIA KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA

Omary Mjenga wa kati kati.
Hapa akiwa katika moja ya mikutano ya kimataifa akiiwakilisha Tanzania pamoja na Viongozi wenzake kutoka UN.
Hapa akimnong'oneza jambo Msaidizi wa Rais Mstaafu Mh. Benjamin W. Mkapa.
Hapa akipewa Nishani ya Utumishi uliotukuka na Mkuu wake wa kazi UN baada ya kupangiwa kwenda kufanya kazi za UN Nchini Siera leone.
Hapa Ndg. Omary Mjenga akiwa na Mh. Anna Makinda, walipomkaribisha Siera Leone.
Kwa sasa Ndg. Omary Mjenga ni Mwakilishi Mkaazi wa UNOPS Nchini Siera Leone.


MAUGO ADUNDWA NA CHEKA

Mabondia Mada Maugo (kushoto) na Fransic Cheka wakioneshana ufundi wa kutupa masubwi wakati wa mpambano wao uliofanyika morogoro juzi Cheka alishinda kwa point.


TUNAPENDA KUFANYA STAREHE ILA HATUPENDI WAJUE TUKO HUKU
Mmoja wa mashabiki wa bendi Twanga na kupepeta  akiwa amejiachia katika pozi kwa aibu siku hiyo huku akificha sura huku anataka kuuza.

No comments:

Post a Comment