Pages

Pages

Saturday, September 3, 2011

REDD'S YAAZIMISHA MIAKA 60 YA UHRU KWA FASHION SHOW YA WAREMBO WA MISS TANZANIA

Warembo wa Ulala Zone:Alexia,Salha na Jeniifer wakivunja kupita kiasi jukwaani ni moja ya warembo waliotoa hamasa kubwa jana usiku katika maazimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania kupitia kinywaji cha REDD'S
Amisa Hassan akifanya vitu vyake.
Genevie Mpangala akiwa na warembo wa miss Tanzania jukwaani ikiwa ni tamati ya maazimisho hayo jana usiku katika ukumbi wa karimjee jijini Dar.
 Shamim "zeze"akitiza show.
 Miss kinondOni mwaka jana(A.Lushiku) akiwa na  Magese katika pozi.
    Mwandaaji wa Lini ,Mr. Shah akiwa na wafanyakazi wenzake.

 Blogerz: Megese,Taji liundi,Michuzi na jofrey wa Mo blog.
   Magese and Michuzi senior(father blog) usku wa jana tuliongea mengi akanishauri mengi sana chakufurahisha zaidi aliniambia yeye pia ni mtizamaji mzuri wa blog hii...Dazzz wasuup!!!


VICTORIA BECKAM ATUNGUA KITU

Victoria Beckham, former Spice Girl and current designer of her own womenswear label, teamed up with Jeep and is executive design consultant for its Evoque line of cars, which made their debut this summer.


MGENI RASMI MISS TAMZAMIA VIPAJI AWASILI LEO

Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo na kupokelewa na wenyeji wake Suleiman Masoud Nassor.(katikati) na Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye. Shindano la Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment