Pages

Pages

Sunday, September 4, 2011

ROSE ALBERT AWA MISS TANZANIA KIPAJI 2011

Mshindi wa miss Taanzania kipaji 2011 Rose Robert (Kilimanjaro) akionyesha kipaji chake jukwaani ndani ya hoteli yenye hadhi ya  nyota nne Giraffe ocean view  iliyopo jijini Dar ambapo mrembo huyu aipata nafasi ya kuingia top 15 ya Miss Tanzania.
   Akipongezwa na mashosti wake.
 mMshindi akionyesha ni kiasi gani yeye ni mkali wa koyografi za kucheza.
Mkurugenzi wa Giraffe Ocean View Hotel Dr,Charles Bekon akiwa na mkurugenzi wa mashindano ya miss Tanzania Bw.Hashim Lundenga.
Dr.Charles Bekon akitoa hotuba ya mdhamini mwenyeji ambapo shindano la kumsaka miss mwenye kipaji lilifanyika katika hoteli yake.
Majaji;Jacqueline Wolper,Miss toka Zambia(chief judge) na Makoye. 
 Warembo wakicheza kwaito.
 Sam wa mariedo.
 Dr.Charles Bekoni akicheki show.



NAOMI CAMPBEL NA MAPUMZIKO YA FUKWENI WEEKEND HII

Supermodel Naomi Campbell is currently vacationing in Hawaii. She spent her Friday afternoon on the beach with boyfriend Vladimir Doronin, actor Edward Norton and his girlfriend, Shauna Robertson.
Not sure how Edward Norton fits in but it looked like the couples had a nice relaxing day, enjoying each other's company in and out of the water. The crew was seen getting their tan on as well as snorkeling.


 MISS TANZANIA 2010-2011 NA MISS AFRICA 2004 WATOA MSAADA TANDALE

 

Miss Tanzania Genevieve Mpangala na Miss Africa 2004 Cynthia Kanema ambae ni mgeni rasmi katika show ya Miss talent leo katika hotel ya Giraffe wakikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali kwa Kuruthumu Yusuph ambae ni Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al-madina kilichopo Tandale jijini Dares salaam
Miss Africa 2004 Cynthia Kanema (kushoto)ambae ni mgeni rasmi katika show ya  Miss talent leo itakayofanyika Giraffe Hotel leo na Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al-madina kilichopo Tandale.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa wamewabeba baadhi ya watoto yatima wa kituo hicho mara baada ya kufika kituoni hapo kwa lengo la kutoa msaada wa vyakula mbalimbali.

No comments:

Post a Comment