Pages

Pages

Monday, September 5, 2011

EXCLUSIVE:JOYCE KIRIA AOLEWA MARA YA PILI

  Bw Henry John Kileo na Bi Joyce Kiria Walipofunga ndoa yao jana Jumapili(JANA) na baadae ilifanyika bonge la pati katika hoteli ya Atrium pande za Afrika Sana - Sinza.
  NI mara ya pili kwa Joyce kilia kuolewa ndani ya kipindi cha muda mfupi baada ya kutalakiana na mumewe wa ndoa ya kwanza Dj Nelly...tears to nelly duuu.


 MIAKA 50 YA UHURU WA TAIFA LETU
Jamani haiwezekani kwa hili pia magonjwa ya Mlipuko kutishia eneo hili, Wizara husika tazameni kwa macho ya huruma na kutekeleza pia ahadi Mashuleni.
  watoto hawa wanasoma kwa kuketi chini,wanaweza kuwa wazazi wao ndio wamiliki wa maduka yanayozunguka katika mji maarufu wa Tunduma, wametelekezwa?serikali iko wapi mbona imewatelekeza watoto hawa?

No comments:

Post a Comment