Pages

Pages

Monday, September 5, 2011

SAMWEL PRODUCER ANAEKUJA KUFUNIKA TAMZANIA

                 Superman magese akiwa na producer msweeded wilani kibaha leo.
                Fundi Samwel akinionyesha namna ya kufanya mastering katika wimbo.
              Samweli akiwa Girlfriend wake Sarah ambae ni muimbaji pia.
              Blue monday 
 Kuna haja serikali ikabooresha makazi ya watumishi wake hususani jeshi la polisi wilani kibaha kwani wanaishi kwenye nyumba za mabati tupu.
   Lundo la taka lililo;undikwa mbele ya maduka nyuma ya kituo cha basi.




ZAWADI YA MISS TANZANIA 2011 HII HAPA
Meneja Masoko wa CFAO Motors Alfred Minja kulia na Mkuu wa Udhamini na Masoko Vodacoma Tanzania George Rwehumbiza wakifunua gari aina ya JEEP ambalo limetolewa kama zawadi ya Vodacom Miss Tanzania 2011 lenye thamani ya shilingi milioni 72 za kitanzania gari hilo limetengenezwa nchini Marekani. Hafla ya kuonyesha gari hilo la zawadi imefanyika asubuhi hii katika duka la kampuni ya CFAO Motors lililopo Barabara ya Nyere.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakifurahia zawadi yao gari aina ya Jeep iliyotolewa na wadhamini wa shindano hilo CFAO Motors.

No comments:

Post a Comment