Pages

Pages

Thursday, September 8, 2011

MBWEMBWE ZA GENEVIEVE ZAFIKIA UKINGONI!

                                               
 Miss Tanzania anaemaliza muda wake Genevieve Mpangala amebakiza siku moja kabla ya kukabidhi taji lake kwa mrembo anaepatikana jumamosi hii,jumla ya warembo 30 wanawania taji hilo..hapo ni mguu target asie na mwana ataondoka patupu.


ZUBEDA SEIF ANYAKUA DOLA 1000
                           
Washindi wakionesha vitita vya kutoka kushoto ni  Christine Mwegoha aliyepata dola 200, Zubeda Seif dola 1000 na Husna Maulid, warembo hawa wa Vodacom Miss Tanzania pia watafabya kazi nba Kampuni ya Papazi Entertainment & Promotion katika uchezaji Filamu.
Maofisa wa Papazi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Papazi, Hans Zakaria (kulia) wakipiga picha ya pamoja baada ya washindi hao kukabidhiwa vitita vyao.
Husna Maulid akionesha makali yake katika kucheza filamu na hapa akiigiza kuwa na machungu.
Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania Glori Lory, akicheza kipande chake na Yusuf Mlela.
Vodacom Miss Tanzania Top Model, Mwajabu Juma (kushoto) akijibizana na Princess Mashonobo.
Majaji wa shindano hilo la kutafuta waigizaji.


THE DREAM ADONDOSHA ALBAMU BUREEEE!!
                                   
If you’re going to date/marry The-Dream, make sure it works out because you don’t want him writing a song about you.
Last week The-Dream (a.k.a. Terius Nash) released a free album called 1977, and on it he gets pretty candid on his failed marriage with Christina Milian. He goes ‘in’ on the song, “Used to Be”, which opens with the line ‘You say I’m f*cked up, Well you might just be f*cked up to’
 

TOP PIC OF A DAY
Rihanna

No comments:

Post a Comment