Pages

Pages

Monday, September 26, 2011

PEPO LA AJALI LAENDELEA KUITAFUNA MBEYA

     JINAMIZI la ajali za barabarani zimeendelea kumaliza watu Mkoani Mbeya,baada ya watu 14 wafariki dunia na wengine 41 kujeruhiwa vibaya baada ya gari aina ya Mitsubish Fuso waliyokuwa wakisafiria kutoka mnadani wilayani Chunya mkoani hapa kupinduka.
  Imeripotiwa kuwa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Anacret Malindisa, alisema tukio hilo la ajali lilitokea Septemba 24 mwaka huu majira ya 9;30 alasiri katika eneo la kijiji cha Msangamwelu wilaya ya Mbeya vijijini barabara ya Chunya
-Mbeya.

Malindisa alisema majeruhi 37 wamelazwa katika Hospitali ya Teule ya Ifisi wakati majeruhi wengine wanne wamehifadhiwa katika hospitali ya Mwambani iliyopo mji wa Mkwajuni wilayani Chunya. Kwaupande wa waliofia hospitali teule ya Ifisi, Muuguzi Mkuu wa hospitali hiyo, Rhoda Kasongwa, aliwataja waliokufa kuwa ni Emilia Mwangove (40), mkazi wa Mbalizi.


JUSTIN BIEBER NA SELENA GOMEZ MAPENZI MOTOMOTO
0925_Justin_beiber_selena_gomez_dinnerdate
IT  has learned just how Justin Bieber surprised GF Selena Gomez with an intimate dinner and a movie for 2 at the otherwise empty Staples Center in downtown Los Angeles.

We broke the story ... Justin and Selena attended a Demi Lovato concert Friday night at the nearby Nokia Theater.  After the show, just after 11 PM, Justin instructed Selena, "Follow me," and then took her through the underground tunnel that connects Nokia to Staples.



MTOTO WA SIRI WA J-ZEE ANGUNDLIKA AKIWA NA MIAKA 9
Wiki chache baada ya mke wa Rapper Jay-Z,Beyonce kudai ana ujauzito,Imefunguliwa kuwa Rapper Jay Z ana mtoto wa siri wa miaka 9 aitwaye Jerald Andrews,akidaiwa kuzaa na Schenelle Scott,model toka Trinidad.
Hii ndiyo taswira halisi ya mama,baba na mwana,jigga hana jinsi kwani dogo ni jigga mtupu mwanzo mwisho...kazi iko kwa beyonce kukubaliana na matokeo haya kwani alizani mtoto wa kwanza wa J-Zee angetoka tumboni mwake.. DOZEE..DOZEEE..


                     PICHA ZETU
    Welcome to Giraffe Ocean View Hotel - Dar es salaam(the place to be in Tz).
      Waandishi nguli wa habari jijini Dar.
       Producer Samwel akifanya mambo yake.
           Mrembo Lilian.
           Wadau na swagga zao.
  Ajali ya magari mawiliiliyotokea maeneo ya ITV jijjini Dar ambnapo yalikwaruzana siunajua rangi nazo zimepanda lazima ukomalie fidia.
              Up commming model.
Ulevii...Nomaaaa... bidhaa njee..njee!,Vaileth wa ukweli akiwa chekoni angali yuko tilalila..!

No comments:

Post a Comment