Pages

Pages

Sunday, September 25, 2011

BASTOLA YA RAGE YAMTIA MATATANI TENA

Mbunge wa Tabora Mjini,Ismail Aden Rage akiwa na bastola kiunoni wakati akielekea kupanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Igurubi kwenye mkutano wa CCM wa kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga jana.Picha na Ray Naluyaga.
Duru za habari zinasema jeshi la polisi limeanza kumuhoji huku vyama vya upinzani vikipinga vikali kitendo cha mbunge huyo kwenda kinyume na taratibu za tume ya uchaguzi kwani kwani hajui ni marufuku?.ni kosa raia wa kawaida kuonyesha bastola hadharani kwani inaweza kuhatarisha usalama na utulivu.
Miaka kadhaa iliyopita Rage aliwahi kufungwa kwa tuhuma kadhaaa.je tuhuma hii aiwezi kumrudha tena lupango?.


MISS TOURISM MARA 2011 HIYOOOO..!!

Hatimaye lile shindano la kumsaka mlimbwende wa mkoa wa Mara katika maswala ya utalii, litafanyika Ijumaa ya tarehe 07/10/2011, katika ukumbi wa Bwalo la Magereza mjini Musoma, ambapo takriban warembo 15 watapanda jukwaa moja kuchuana kumpata muakilishi wa mkoa katika mashindano yan Miss Tourism Lake Zone yatakayofanyika baadae mwezi december. Kampuni ya Stoppers Entertainment inayoandaa mashindano hayo, imejipanga kuyapa hadhi mashindano hayo ambapo warembo mbali na kupita jukwaani, watashiriki katika shughuli za kijamii, kuimba na kucheza ngoma za makabila ya mkoa wa Mara. Hata hivyo waandaji wamewaomba wadhamini kuendelea kujitokeza kudhamini shindano hilo, kutokana na kugusa utalii, utamaduni na uchumi wa nchi yetu, yote kwa minaajili ya kuitangaza Tanzania.
Shindano la Miss Tourism Mara 2011, litasindikizwa na burudani kutoka kwa  Ditto na Linah wote kutoka jumba la vipaji THT. Pia burudani za ngoma za asili zitakuwepo.


        MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA

Pata picha mama mjamzito akipata uchungu na hospitali iko maili kadhaa kwa usafiri huu...


JUSTIN BIEBER NI MFALME WA SELENA GOMEZ

Seriously, Justin Bieber is the perfect guy!
The Biebs is currently on the west coast and was spotted with his boo Selena Gomez as they kicked off their weekend with a cuddle sesh on the beach.



ZANZIBAR COUPLE’S RETREAT – TASTE OF LOVE
(2 NIGHTS / 3 DAYS)
Friday 14th October 2011 to Sunday 16th October 2011
JCCE TOURS & SAFARIS CO., LTD
Inapenda kuwataarifu kuwa imeandaa retreat maalum kwa wapenzi kuanzia siku ya Nyerere Ijumaa tarehe 14 Oktoba 2011 mpaka Jumapili tarehe 16 Oktoba 2011 katika hoteli maarufu hapo Stone Town ZANZIBAR BEACH RESORT.
Retreat hii ni siku tatu na ambapo wapenzi watapata fursa ya kujumuika pamoja na kutembelea baadhi ya vivutio mjini Zanzibar. Gharama yake ni US $ 550 kwa wapenzi (watu wawili) ambayo kila kitu kimelipiwa.

Kwa maelezo zaidi na kujiandikisha tafadhali wasiliana nasi kupitia simu namba +255 783 600 304 au tuandikie kupitia enquiries.jccetz@gmail.com / jccetz_tours_safaris@yahoo.com Pia unaweza kutufuata Twitter @JCCE_TOURS_TANZ au kutembelea page yetu Facebook JCCE TOURS & SAFARIS CO., LTD
Mwisho wa kujiandikisha ni Oktoba 8 2011, Saa 5 asubuhi
© JCCE TOURS & SAFARIS CO., LTD 2011

PACKAGE INAJUMUISHA / INCLUDES:

Malazi / Accommodation on Half Board Basis (Superior Rooms) for 2 Nights
Usafiri wa Ndege (Njia Moja) / One way Flight Ticket
Usafiri wa Boat (Njia Moja) / One way Boat Ticket
Kutembezwa Stone Town / Guided Tour of World Heritage Stone Town
Kutembezwa Prison Island / Guided Tour of Prison Island
Chupa ya Mvinyo / Bottle of Wine and fruit platter
Candle Lit Dinner by the pool side
Zawadi Maalum kwa wapenzi / Special Gift for the Couple

No comments:

Post a Comment