Pages

Pages

Saturday, September 24, 2011

WATANZANIA WASHINDA SOUTH AFRICA

TIMU ya Tanzania inayoshiriki kwa mara ya kwanza kwenye mashindano ya kujibu maswali na kupiga mipira yanayojulikana kama Guinness Mpira Changamoto yanayoendelea huko
Johannesburg Afrika Kusini, wamefanya kufuru isiyotegemewa baada ya kuongoza katika hatua ya tano hapo juzi.

Lukuba ambaye tuliwasiliana naye moja kwa
moja jana alisema ndoto ya washiriki wa Kitanzania ni kuendela kuvuta pesa ili kuubwaga umasikini na kuwatoa nishai wenzao wa Kenya
na Uganda ambao wamekuwa wakiwabeza kabla ya mashindano kuanza. Changamoto hiyo ya Guinness itaoneshwa na televisheni inayopendwa na watazamaji wengi nchini, ITV kwa wiki nane mfululizo. Washindi wa hatua zote nane watajiunga na wanasoka wannne waliostafu soka katika onyesho ambalo pia litashirikisha



MADEREVA WAGOMEA TOCHI ZA USALAMA MBEYA
Madereva wa Mabasi na Matrafiki katika Stand kuu - Mbeya. 
Tukio la Madereva wa Mabasi ya masafa marefu kutoka Mbeya kugoma kuendesha mabasi yao kwa kulalamikia 'TOCHI' nyingi barabarani limenishangaza sana, kwa faida ya wasioelewa, TOCHI ni Kamera za usalama barabarani zinazotumiwa na Matrafiki kuangalia magari yanayokwenda mwendo wa kasi katika eneo ambalo hawastahili kwenda mwendo huo.

Model
Aisha hssan

REDDS MISS ILALA KANDA BORA 2011
Salha Israel " queen of Tezee"
  Ndiyo kanda lyomtoa mrembo  SALHA ISRAEL Miss Tanzania 2011.Hongera sana J.KALIKUMTIMA.

No comments:

Post a Comment