Pages

Pages

Friday, September 23, 2011

AJALI YA ROLI YAAUWA WATU WATATU MBALIZI-MBEYA
Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada ya kugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba


LIYUMBA YUKO HURU
Habari za uhakika tulizo nazo  ni kwamba, aliyekuwa Kibosile wa Benki Kuu ya Tanzania 'BOT', Amatus Liyumba leo majira ya saa 4: 45 asubuhi ameachiwa huru, baada ya kukamilisha kifungo chake cha miaka miwili alichokuwa amefungwa katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam akidaiwa kutumia vibaya mali ya Umma juu ya ujenzi wa magorofa pacha ya Benki hiyo yaliyopo Posta jijini, Dar.


TOP PICS OF A WEEK
 
LIGHTNESS MODEL


GARI YA MIAKA 60 YATEMBEA MPAKA LEO
Mzee Saidi ni mwanajeshi mstaafu ambae anamiliki gari aina ta peugeot ambayo ilinunuliwa na marehemu baba yake kipindi anasoma shule ya msingi,gari hii inatumia mafuta kidogo mithili ya chemli wala haijawahi kushushwa gear box wala injini iko bomba tu.
Mzee Saidi aliwahi kuwa dereva wa viongozi mashuhuri nchini kwetu kama Marehemu Kawawa,Jaji Jeseph Warioba na mh Kingunge kwa mujibu wa maelezo yake.
    Jinsi ilivyo kwa ndani hivi sasa.
Inatumia mchuzi juu tanki la mafuta is dead...
Hili ndilo komeo la mlango wa gari hilo."wafaransa waliwahi kunifuata na kuniomba gari hili waliweke kwenye makumbusho ncnini kwao nikakataa kwani ni kitu cha kujivunia katika maisha yangu niliachiwa na marehemu baba yangu,japo nna magari ya kifahari hili ni kipenzi changu" aliongea mzee Said.

No comments:

Post a Comment