Pages

Pages

Wednesday, September 21, 2011

URAFI WA MWASITI UKO KWENYE KEKI..!!

 Utu na usupastaa wa Mwasiti(msanii wa kizazi kipya)unamtoka kabisa pale anapoona keki,hivyo hufanya maarifa ili afaidi zaidi keki hiyo kama alivyokutwa na kamera yetu Msanii huyo alikuwa anazunguka mashariki magharibi,kusini kaskazini na vipande vya keki katika holini maeneo ya block 41 mwishoni wa wiki iliyopita ambapo kulikuwa na suprize birthday party ya mmoja ya wana THT angali siku hiyo kulikuwa na hafla ya kuwapongeza wanafunzi waliohitimu kidato cha nne.
Muda mwingi Mwasiti alioneka na vipande vya keki visivyooisha kikiisha anachomoka na kingine na kuna wakati ilimbidi kupanga foleni na madansa hao wa THT kusubiri mgao wa mara kwa wa keki hiyo,hakutaka kuachia vipande hivyo mpaka tunaondoka maeneo hayo Mwasiti alikuwa akitafunatafuna tu.
 Mwasiti kawa sharogal sikuizi "usinishike... meeeen"
    Nani hakujua Linah ni mrefu..?
      Alexia
Mateja 20 na vimwana..


LONDON FASHION WEEK
UK singer Eliza Doolittle has been a busy little bee during London Fashion week, flitting from show to show and changing outfits faster than Superman!

No comments:

Post a Comment