Pages

Pages

Tuesday, September 20, 2011

WASANII WAFUMWA WAKIFANYA KITU MBAYA

 Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya(bongo flava) Ally Timbulo (Timbulo) amefumwa akifanya kitu mbaya na msanii chipukizi wa filamu Isabela Francis(Vai wa ukweli),tukio hili lilitokea juzi usiku wa manane maeneo ya Ilala ambapo kamera yetu ilinasua uhondo huo.
 Pia kuna tetesi kuwa Timbulo ana uhusiano wa kimahaba na Msanii wa kuigiza Jackline wa chuzi,Msanii huyu anatamba na kibao cha 'Domo langu zito' amekuja kwa kasi upande wa mabinti kwani mwezi uliopita ilivuma kuwa  anatoka na Shilole.
     Dozee dozee...dar by night....

SEAN KINGSTONE ALILIA SAA YAKE

Baada ya kufanya bonge la performance pande za Lugogo cricket oval,Sean Kingston alishuka kwenye stage na kuitwa tena na MC of the night,Dave Kazoora na Kazoora kuanza kumfagilia Sean Kingston kwa show kali ya nguvulakini alifunguka zaidi kwa kuomba saa yake na kudai kuwa international artist yoyote anayekuja Uganda,huwa wanabadilishana vitu coz alivyokuja R Kelly hajakuwepo na kwa sasa itabidi arekebishe

Sean Kingston kwanza alishangaa mwisho wa siku akavua saa kumpa MC na yeye kuvaa ya MC na kushuka kwenye stage

Lakini Backstage,Sean Kingston alikomaa kudai saa yake kwa waandaaji akidai kuwa MC alimdanganya eti International artist wote wakija hubadilishana vitu na wao na pia kwa kua alikua mbele ya fans wake asingeweza kukataa na mwisho wa siku ilibidi MC Kazoora kurudisha saa ya Sean Kingston kabla hajaondoka Uganda fna baadaye MC Kazoora alitupia kwenye Facebook account akifunguka ilikua ni utani tu na wala yeye si tapeli na wala siyo njia nzuri ya kuomba vitu na wala asionekane wa ajabu


AMBER ROSE ATEMBELEA GHANA

Amber Rose is an international superstar and she's in the motherland to feed the children.
The Behind The Shades vixen hopped on a plane and headed to Ghana and once she arrived, she was greeted by the guys of the village.



BIRTHDAY YA ANGELA SIMMONS MIAMI BEACH




Angela Simmons
Angela Simmons showed off her incredible figure in a white bikini during her latest trip to Miami Beach.
Angela has been celebrating her 24th birthday all weekend long, leading to one of her friends asking, how many times are we going to celebrate Angela's birthday?!

No comments:

Post a Comment